Na Mimi nakusaidia wewe kumnukuu Shekh kipozeo " Anasema Mwenye Mungu kaumba maumbile tofauti tofauti kuna wale wanaitwa Miss Bantu ambao tuna wapenda sana sisi Wafrika"Naendelea kukusadia kunukuu
"Wewe penda hao hao wembamba wembamba, me napenda wale wanene wanene walojazia nyama za allah" mwisho wa kunukuu
Ha haa!Udhalilishaji wa kijinsia.
Matumizi mabaya ya madaraka.
Kukosa uaminifu katika ndoa.
Kuharibu mawazo ya mwanamke asiye mkeo.
Kumuingilia mfanyakazi katika sehemu yake ya kazi.
Kula njama ya kumficha mkeo ukweli.
Kutubu kinafiki kwa mungu wakati uliyemkosea hujatubu kwake.
Kutoa siri za nyumbani JF.
Kutangazisha ubaradhuli JF.
Kumsingizia shetani ashiki zako mwenyewe.
Makosa yote hayo unayo.
kula huyo hg, then ni-pm kwa feedback.natamani huyu dada wa kazi kumtumbua jipu nisitishe ajira yake tatizo kuna mtoto mdogo wa nursery na wife anafanya kazi ila sijawahi kuona mwanamke mvivu kama huyu sikumbuki mara ya mwisho ameingia jikoni lini au amefanya usafi wa nyumba lini
Hisia zako tu na unachokiwaza ndo shetani anakifanyia kazisasa kama sio shetani ni nini
sawa mwanasheriaUdhalilishaji wa kijinsia.
Matumizi mabaya ya madaraka.
Kukosa uaminifu katika ndoa.
Kuharibu mawazo ya mwanamke asiye mkeo.
Kumuingilia mfanyakazi katika sehemu yake ya kazi.
Kula njama ya kumficha mkeo ukweli.
Kutubu kinafiki kwa mungu wakati uliyemkosea hujatubu kwake.
Kutoa siri za nyumbani JF.
Kutangazisha ubaradhuli JF.
Kumsingizia shetani ashiki zako mwenyewe.
Makosa yote hayo unayo.
Mkuu next time malizia shughuli kabisa uzia uishe!Jana wakati nakiandaa kwenda kanisani nadhani shetani alikuwa anataka kuniharibia upako wangu,nilimuacha mama yoyo akiwa kalala niko sebuleni nataka kutoka nje dada wa kazi akiwa ndani ya night dress alikuwa anapiga deki na lile umbo lake la kiuno cha nyigu nikajikuta nimemtekenya kwa kumbinya na vidole vyangu kulia na kushoto kwenye nyonga yake.
Nikasikia mamaaaaa, mama yoyooo akatoka mbio anauliza vipi kunani mimi nilishafika nje nasikilizia,mara dada wa kazi akasema hamna kitu nilitaka kuteleza kwenye sakafu,shetani huyu jamani uzuri nilipofika kanisani nimetubu na dhambi zangu zimesamehewa na kuwa nyeupe kama theluji.
MfanyaKazi wako mzuur, Kakufichia siri.....Good mwanzo mzuuri, Kazi kwaaako.Jana wakati nakiandaa kwenda kanisani nadhani shetani alikuwa anataka kuniharibia upako wangu,nilimuacha mama yoyo akiwa kalala niko sebuleni nataka kutoka nje dada wa kazi akiwa ndani ya night dress alikuwa anapiga deki na lile umbo lake la kiuno cha nyigu nikajikuta nimemtekenya kwa kumbinya na vidole vyangu kulia na kushoto kwenye nyonga yake.
Nikasikia mamaaaaa, mama yoyooo akatoka mbio anauliza vipi kunani mimi nilishafika nje nasikilizia,mara dada wa kazi akasema hamna kitu nilitaka kuteleza kwenye sakafu,shetani huyu jamani uzuri nilipofika kanisani nimetubu na dhambi zangu zimesamehewa na kuwa nyeupe kama theluji.
Nataka kwenye kula njama....Hajala, ila Mafanyakazi wake alimfichia siri tu bosi wake.Udhalilishaji wa kijinsia.
Matumizi mabaya ya madaraka.
Kukosa uaminifu katika ndoa.
Kuharibu mawazo ya mwanamke asiye mkeo.
Kumuingilia mfanyakazi katika sehemu yake ya kazi.
Kula njama ya kumficha mkeo ukweli.
Kutubu kinafiki kwa mungu wakati uliyemkosea hujatubu kwake.
Kutoa siri za nyumbani JF.
Kutangazisha ubaradhuli JF.
Kumsingizia shetani ashiki zako mwenyewe.
Makosa yote hayo unayo.
Ukifanya kosa, ukamsikia mwingine anaulizwa kuhusu hilo kosa, mtu ambaye analijua, akakana, na wewe unasikia lakini hujatubu na kuweka mambo wazi kuhusu kosa lako, umekula njama na huyo aliyejkana kuficha kosa.Nataka kwenye kula njama....Hajala, ila Mafanyakazi wake alimfichia siri tu bosi wake.
"Kula Njama" ni watu wawili au zaidi wakakubaliana kufanya jambo fulaani kwa lengo fulaaani.......Ukifanya kosa, ukamsikia mwingine anaulizwa kuhusu hilo kosa, mtu ambaye analijua, akakana, na wewe unasikia lakini hujatubu na kuweka mambo wazi kuhusu kosa lako, umekula njama na huyo aliyejkana kuficha kosa.
This is basically a conspiracy.
See more synonyms on Thesaurus.com
noun, plural conspiracies.
1.
the act of conspiring.
2.
an evil, unlawful, treacherous, or surreptitious plan formulated in secret by two or more persons; plot.
3.
a combination of persons for a secret, unlawful, or evil purpose:
He joined the conspiracy to overthrow the government.
4.
Law. an agreement by two or more persons to commit a crime, fraud, or other wrongful act.
5.
any concurrence in action; combination in bringing about a given result.
Wamekubaliana, ndiyo maana hata huyu baba alivyosikia yule mfanyakazi anadanganya, hakumsahihisha na kutubu."Kula Njama" ni watu wawili au zaidi wakakubaliana kufanya jambo fulaani kwa lengo fulaaani.......
Sasa yule mfanyakaz na Bosi wake, hawakula njaaama...
Hawakukubaliana kudanganya.
Kwani " kula njama" si mpaka muambizane kwa pamoja na kwa dhamira moja.....afu mnakula kiapo mfanye mliyo ahidiana...???Wamekubaliana, ndiyo maana hata huyu baba alivyosikia yule mfanyakazi anadanganya, hakumsahihisha na kutubu.
Kuna njama imetokea hapo kati ya mfanyakazi na baba kumdanganya mama mwenye nyumba.
Ndiyo maana mpaka sasa kwa mujibu wa thread mama mwenye nyumba hana habari, lakini baba na mfanyakazi wanajua.
Wameficha siri kwa njama ya kumdanganya mama mwenye nyumba.
Si lazima kuambizana, kuelewana na kuwa na dhamira moja tu kunatosha.Kwani " kula njama" si mpaka muambizane kwa pamoja na kwa dhamira moja.....afu mnakula kiapo mfanye mliyo ahidiana...???
Sasa Mfanyakazi aliyopiga kelele, mama alivyotoka...Baba alkuwa tayr kashatoka nje....na kwa, Yule Bosi hakujua Binti atasema nini kwa Mama mwenye nyumba..?
Angejua binti atasema nini, na kila atakachosema walikubaliana...sasa hapo tungeita wamekula njama....
Mmhu!Mwanaume kama una mdada wa kazi "mkali"nyumbani kwako halafu kila siku unajikaza kwa kumtolea mimacho tu badala ya "kula mzigo"..we ni jipu.
Haya mkuu, mambo ya sheria nini hayo?? Mi nilikuwa nalitumia neno kibongo bongo.....ahahahahaaaaaa, Pamooja Bosi.Si lazima kuambizana, kuelewana na kuwa na dhamira moja tu kunatosha.
Kunyamaza kwa baba baada ya mfanyakazi kusema uongo ni kupotosha ukweli na kuelewana na mfanyakazi katika kula njama dhidi ya mama.
Kalifanyia kazi jina lake.Ila wakati mwingine dhambi ina trend ndefuuu yeye kamdukua hg akasema katereza.Usimdukue huyo binti aiseee badala yake katafute nje km si kuendelea kudukuana Na mkeo