Nimemtekenya dada wa kazi kapiga ukelele mpaka mama yoyoo katoka chumbani mbio

That's a step already,endelea kuomba Mungu manake hapo ulipofikia shetani kabakiza kidogo tu utafanya ndivyo sivyo.
 
vitu vingine vinatokeaga automatically, kikishatokea ndo unashtuka, sio shetani ila huenda kuna muda akili huwa ina cease kuruhusu huu upuuzi
Mkuu kumbe na wewe huwa inakutokea kumpapasa beki 3 akili iki-cease, kwa hiyo sio shetani! halafu wenye matatizo hayo wapo wengi kweli mitaani
 
amsingizie nanii kama si sheitwan
Badala ya kumsingizia shetani kwa tamaa zake ili hali shetani hahusiki Na wala hakuwepo eneo LA tukio, namshauri angekilaumu kikojoleo chake km si kukikata kabisa maana kitamletea madhara,
 
niliamka na upako kabisa mkuu atakuwa shetani tu
Hivi pamoja na upako wako bint asingepiga kelele wewe ungekwenda kanisani mapema? na je ungekumbuka hata kutubu kweli? Sio kwamba ungewahi kurudi ili ujaribu kumpapasa na kifuani, mkuu usisahau kwamba yule hana kasaro na watoto wako au hata wadogo zako wa kike , kwa nini mnapenda kujidhalilisha kwa watoto wa kazi? Ati oooh shetani huyo
 
Badala ya kumsingizia shetani kwa tamaa zake ili hali shetani hahusiki Na wala hakuwepo eneo LA tukio, namshauri angekilaumu kikojoleo chake km si kukikata kabisa maana kitamletea madhara,
KWANI WEWE SHEITWAN ALIPOKUSHAURI UMKUBALI HUYO ALIYEKUTONGOZA ULIMUONA? AU MLIONANA?
KIKOJOLEO SIO CHENYEWE NI SHEITWANI NDIO AMEKISHIKA AKKAKIPANDISHA MZUKA NACHO KIKARESPOND.. BAASSS KWISHNEY HABARI YAKE
 
Mkuu kumbe na wewe huwa inakutokea kumpapasa beki 3 akili iki-cease, kwa hiyo sio shetani! halafu wenye matatizo hayo wapo wengi kweli mitaani
mkuu huwezi jua, kuna mama mmoja karibuni huku bush kidogo amkate na shoka mme wake, walikuwa wanatoka shamba akahisi kuna nguvu ina mwambia amkate mume wake aliyekuwa mbele, ameinua shoka ndo akashtuka, akalitupa huku anatetemeka, na hana tatizo na mme wake la kupelekea kufanya alichotaka kufanya, ndo maana nasema huwa inatokea labda akili ina cease mkuu naiman64
 
KWANI WEWE SHEITWAN ALIPOKUSHAURI UMKUBALI HUYO ALIYEKUTONGOZA ULIMUONA? AU MLIONANA?
KIKOJOLEO SIO CHENYEWE NI SHEITWANI NDIO AMEKISHIKA AKKAKIPANDISHA MZUKA NACHO KIKARESPOND.. BAASSS KWISHNEY HABARI YAKE
Aiseee kwanini lkn? Basi tufanye shetani ndo anawatymia watu kutongozA, ndo anawafanya wapiga goli 10-5 - 1 shetani wa mguu mmoja huyu
 
Kama una house boy hapo kwako siku mkute anamtekenya na kumshika nyonyesheo mkeo pia naomba uje utujulishe
 
huo upako ulioamka nao ungempaka beki tatu maana anaonekana anataka huo upako, ila haukafanya poa uliziamsha za mwezako wakati unajua hanawamkutuliza
 
Hv huyp shetani anawapitiaga wap?
Huwa naenda nae wap?
Mana mara nyingi naona mkisema shetani amenipitia .kamekuwa kamchezo kenu hako?

Kumbuka MUNGU hadhihakiwi.Muwe munasema hv.
"Baada ya hofu ya MUNGU kutoweka ndan ya moyo wangu" na sio kutidanganya.
Namsipo kaa sawa sheria ya dhambi na mauti itawamaliza.
 
Utakuta ameungama dhambi moja tu kati ya hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…