MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,500
amsingizie nanii kama si sheitwaneti kiuno cha nyigu, mkuu tamaa zako usimsingizie Shetani,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
amsingizie nanii kama si sheitwaneti kiuno cha nyigu, mkuu tamaa zako usimsingizie Shetani,
Mkuu kumbe na wewe huwa inakutokea kumpapasa beki 3 akili iki-cease, kwa hiyo sio shetani! halafu wenye matatizo hayo wapo wengi kweli mitaanivitu vingine vinatokeaga automatically, kikishatokea ndo unashtuka, sio shetani ila huenda kuna muda akili huwa ina cease kuruhusu huu upuuzi
Badala ya kumsingizia shetani kwa tamaa zake ili hali shetani hahusiki Na wala hakuwepo eneo LA tukio, namshauri angekilaumu kikojoleo chake km si kukikata kabisa maana kitamletea madhara,amsingizie nanii kama si sheitwan
Hivi pamoja na upako wako bint asingepiga kelele wewe ungekwenda kanisani mapema? na je ungekumbuka hata kutubu kweli? Sio kwamba ungewahi kurudi ili ujaribu kumpapasa na kifuani, mkuu usisahau kwamba yule hana kasaro na watoto wako au hata wadogo zako wa kike , kwa nini mnapenda kujidhalilisha kwa watoto wa kazi? Ati oooh shetani huyoniliamka na upako kabisa mkuu atakuwa shetani tu
KWANI WEWE SHEITWAN ALIPOKUSHAURI UMKUBALI HUYO ALIYEKUTONGOZA ULIMUONA? AU MLIONANA?Badala ya kumsingizia shetani kwa tamaa zake ili hali shetani hahusiki Na wala hakuwepo eneo LA tukio, namshauri angekilaumu kikojoleo chake km si kukikata kabisa maana kitamletea madhara,
mkuu huwezi jua, kuna mama mmoja karibuni huku bush kidogo amkate na shoka mme wake, walikuwa wanatoka shamba akahisi kuna nguvu ina mwambia amkate mume wake aliyekuwa mbele, ameinua shoka ndo akashtuka, akalitupa huku anatetemeka, na hana tatizo na mme wake la kupelekea kufanya alichotaka kufanya, ndo maana nasema huwa inatokea labda akili ina cease mkuu naiman64Mkuu kumbe na wewe huwa inakutokea kumpapasa beki 3 akili iki-cease, kwa hiyo sio shetani! halafu wenye matatizo hayo wapo wengi kweli mitaani
Aiseee kwanini lkn? Basi tufanye shetani ndo anawatymia watu kutongozA, ndo anawafanya wapiga goli 10-5 - 1 shetani wa mguu mmoja huyuKWANI WEWE SHEITWAN ALIPOKUSHAURI UMKUBALI HUYO ALIYEKUTONGOZA ULIMUONA? AU MLIONANA?
KIKOJOLEO SIO CHENYEWE NI SHEITWANI NDIO AMEKISHIKA AKKAKIPANDISHA MZUKA NACHO KIKARESPOND.. BAASSS KWISHNEY HABARI YAKE
Udhalilishaji wa kijinsia.
Matumizi mabaya ya madaraka.
Kukosa uaminifu katika ndoa.
Kuharibu mawazo ya mwanamke asiye mkeo.
Kumuingilia mfanyakazi katika sehemu yake ya kazi.
Kula njama ya kumficha mkeo ukweli.
Kutubu kinafiki kwa mungu wakati uliyemkosea hujatubu kwake.
Kutoa siri za nyumbani JF.
Kutangazisha ubaradhuli JF.
Kumsingizia shetani ashiki zako mwenyewe.
Makosa yote hayo unayo.
Udhalilishaji wa kijinsia.
Matumizi mabaya ya madaraka.
Kukosa uaminifu katika ndoa.
Kuharibu mawazo ya mwanamke asiye mkeo.
Kumuingilia mfanyakazi katika sehemu yake ya kazi.
Kula njama ya kumficha mkeo ukweli.
Kutubu kinafiki kwa mungu wakati uliyemkosea hujatubu kwake.
Kutoa siri za nyumbani JF.
Kutangazisha ubaradhuli JF.
Kumsingizia shetani ashiki zako mwenyewe.
Makosa yote hayo unayo.