Nimemtishia mume wangu kwenye JamiiForums "kaninunulia Mercedes" picha kesho

kumbe umepewa kwa mkwara na wala si kwa upendo? any nakuombea ligongwe halafu tuone kitakachofuata
 

binafsi huwa sielewi post za huyu dada kabsa,wakati mwingine naona kama kuna idadi flani hivi ya posts anataka aifikishe cuz kila siku anapost sredi nyingi zisizokuwa na maana ili kuquote attention ya watu na kupata wachangiaji wengi.always nonsense
 
binafsi huwa sielewi post za huyu dada kabsa,wakati mwingine naona kama kuna idadi flani hivi ya posts anataka aifikishe cuz kila siku anapost sredi nyingi zisizokuwa na maana ili kuquote attention ya watu na kupata wachangiaji wengi.always nonsense


Kwa hiyo unakubaliana na mie kuwa Natalia is very innovative??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Anakusanya data apate kujua mitizamo ya watu. Bila shaka badala ta kutumia questionnaire ameonelea mbinu hii ina ufanisi zaidi kuweza kujua mitizamo ya watu katika hali kama hizo. Hata mwenyewe hakubaliani na anachokiandika ila anataka kujua kama wengi wapo upande wake au laa. Yupo kikazi zaidi kuliko tunavozania tulio wengi.

Congrats Natalia.. kazi njema
 
Duh! Natalia sijui ana matatizo gani. Sijui nini kimemfika! Utoto / jani au poda? Khaaaaaaa hizi nyuzi zake zinachosha kabisa!
 
Duh! Natalia sijui ana matatizo gani. Sijui nini kimemfika! Utoto / jani au poda? Khaaaaaaa hizi nyuzi zake zinachosha kabisa!

kama si low self esteem. . Basi anatangaza biashara!
 
Nashindwa kuelewa hao waliokupa hizo like walikupaje.......yaani nini kiliwavutia manake mie toka nianze kupitia nyuzi zako sijawahi kuambulia chochote!

i know...kapewa benz ndio anasema anampenda, asingepewa angemuacha...mapenzi ya siku hizi mmh
 
Natalia a.k.a muke ya muzungu
wazungu vilaza, yani uanze tu kumtishia mwanaume wa kienyeji? hata baskeli sikununulii
 
Last edited by a moderator:
Ana kasoro gani huyo mwanaume mpaka awe juha hivyo ? au wewe una ni zaidi ambacho wenzako hawana ?

Kijana wangu natumia simu tu ningekutwanga like, wanawake kama huyu wana magundu hata pipi hawahongwi ndio wanapost ndoto zao humu
 
Hv we m2 umekaa ukawaza ukasema ngoja uandike hayo mambo yako yasiyokuwa na kichwa wala miguu.
 
Natalia ukifungua forum ya MMU kuna thread ya INNOVATOR inasema Taarifa muhimu tafadhari soma hapa, ukiisoma hiyo thread utajirekebisha na tabia yako ya ulimbukeni unayoionyesha hapa halafu kwa kukadiria wewe ni miaka 19 au 20 tu. Jiangalie usije ukapaona pachungu hapa
 
Last edited by a moderator:

Nimebaki black and white,sijui ni nini wanawake wenzio unawafundisha hapa, Badili Tabia na Kongosho mmeelewa kitu hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…