Nimemtishia mume wangu kwenye JamiiForums "kaninunulia Mercedes" picha kesho

Nilivyomuelewa natalia ni kwamba alipoona jamaa yake hana kazi na shopping na mazagazaga hamna tena ndio kasema anamwacha na alileta thred hiyo huku jf. Tukamshauri na wengi tulikuwa tunampaka yeye. Now anajikosha tu. Mpenda vitu mkubwa wewe. Y lkn??
 
ukioa mtu wa type hii umeliwa
sidhani kama utapata maendeleo yoyote
akili zake fupi.hata mimi natangaza mwisho wa kusoma post zako hazina kichwa wala mguu
 
Sijui kwanini tunapoteza wakati na huyu kilazwa, kwanza nimeshtukia mambo yake mengi anayoandika humu jamvini ni ya kufikirika tu (emergination). Ila mpaka hapa nadhani atajirekebisha otherwise aingi na new id. Vinginevyo sitachangia mada yake ever
 
We dada HUna Lolote huna Chochote...Ulifikiri kuleta Hii mada hapa ndo watu watakusifu au? Huna Hata Aibu! Money Oriented Lady.. Huna Mapenzi ya Kweli na Umeniudhi kwa Thread yako isiyo na Kichwa wala miguu
 
mmh wewe mama kazi unayo..unapenda sana starehe na anasa..nadhani malipo yake unatoa hadi tee-goo
 

We Binti hv unadhani mume ni nywele anaota tu popote?
kwa style ya kwako mh aisee jipange upya, wata-hit na ku-run!
 
napenda jukwaa hili, ila huyu mdada anafanya nilione baya! ooooh nimekumbuka kitu mungu hakutuumba kwa kufanana kila kitu, yawezekana huyu amerukwa....jaman wale watundu m-pm huyu m2 afu mpeni anachokitaka then mchukueni picha muianike jukwaa la wakubwa aridhike
 

nadhani naenjoy zaidi ninavyoendesha my Audi Q7 niliyonunua kwa jasho langu....kweli wanawake tupo tofautitofauti......
 
Khaaa, uliyemtisha ni mume wako au wa mtu mwingine!
wewe siyo kidumu cha yule NANII kweli?
usidanganye wanaJF, mume hatishiki!

 

roger that,
 
duuuuuh!! Hongera dada kwa kupata mwanaume boya asiyejitambua. Vitisho havina nafasi yoyote kwenye mapenzi ya kweli na sijaona umuhimu wa wewe kuja kutuelezea ni kwa kiasi gani mwanaume wako dhaifu mwenye kukubali vitisho visivyo na msingi. Pia nakupongeza kwa hadithi yako isiyofurahisha ambayo hujatuambia umefundishwa na nani na inatufundisha nini?
 
mh,mbona mimi narudia rudia lakin c elewi maana ya hii thread, yaani sijaelewa anamaanisha nini? nisaidieni pls
Anamaanisha kuwa hicho alichoandika hapo ni ndoto tu alikuwa anaota kuwa kanunuliwa Benzi, lakini akitokea mtu akimnunulia hata simu ya tochi...................anakula mzigo. I never see brain-washed woman like this lol!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…