Nimemtizama huyu Mzambia Phiri anayetakiwa na Simba SC hata 50% tu ya Mkongo Mayele hajamfikia

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Hata mwaka jana Simba SC ilipotaka Kumsajili Moses Phiri tayari Uwezo wake ulikuwa umeshashuka na nilishangaa Kusikia kuwa bado Simba SC walikuwa wameshamhakikishia kuwa Watamsajili Kwa Msimu ujao. Na nikisema kuwa fulani hafai jua 99.9% hafai Kweli na nikikuambia fulani mzuri pia niamini kwa 100% kutokana na Maarifa ya Soka la Bongo..

Wengine nje ya huku Kuuandikia na Kuuchambua Mpira pia tumeupiga vile vile Enzi zetu hivyo Kwetu kujua kuwa huyu anaujua Mpira au haujui ni Kazi rahisi sana. Nimemtizima Kiufundi na Kumlinganisha na Fiston GENTAMYCINE Mayele na kuona hana uwezo na Simba SC hapa kama Kawaida tunaenda Kukurupuka tena.

Hebu Uongozi wa Simba SC nitafuteni GENTAMYCINE popote pale nilipo ili mnipe Kazi ya Kuwatafutia Wachezaji wanaofaa Kuicheza Klabu yetu ( yangu ) na kamwe hamtokuja Kujutia kwani kwa Utaalam mkubwa wa Jicho la Kimpira na Kiufundi mtanipigia ni Saluti kwa Majembe ambayo nitawaletea kutoka nchi zangu Tano tu za Afrika.

Tafadhali hebu achaneni na Moses Phiri na Mwekezaji Mo Dewji acha 'Ubahili' mwaga Pesa Baba tusajili 'Vyombo' tupu.
 
Watakuja kukuita Mamluki na uwaachie Simba yao
Nilishawazoea Mkuu na wala hawanipi taabu ukizingatia kuwa hata Wao Muziki wangu Uliotukuka wanaujua vyema mno.
 
Sasa kama wewe shabiki wa simba mwenye akili nyingi kabisa unasema hivyo! Mimi Mwananchi nitasema nini!
 
Mayele huyu huyu aliyezidiwa magoli na Mpole?
 
Mleta una jicho Kali, unaangalia in 3D, hao wanaoangalia in 2D hawatakuelewa kamwe. Na hata yakishakuwa hawatajitokeza kukuomba radhi kwa mitusi watakayokupa leo.
 
Ligi ya zambia ikiwa imeisha mchezaji mpya wa simba Moses Phiri akimaliza nafasi ya pili katika vinara upachikaji mabao akipachika mabao 13 safi nyuma ya striker wa Red Arrows Riki Banda mwenye magoli 16 huku timu yake hiyo ya zamani (Zanaco) ikimaliza ligi katika nafasi ya tano
NB;Ikumbukwe Zanaco waliifunga yanga sc goli mbili kwa moja huku yangawakiwa kwenye siku zao huku moja ya goli likifungwa na mchezaji tishio wa Zanaco, "Kelvin Kapumbu" huku Phiri akiupiga mwingi wa kitabuni siku hiyo
 
 
Duh
 
Huyu kapumbu angetufaa zaidi,
Aliwaumiza sn utopolo.

Kha kha kha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…