GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hata mwaka jana Simba SC ilipotaka Kumsajili Moses Phiri tayari Uwezo wake ulikuwa umeshashuka na nilishangaa Kusikia kuwa bado Simba SC walikuwa wameshamhakikishia kuwa Watamsajili Kwa Msimu ujao. Na nikisema kuwa fulani hafai jua 99.9% hafai Kweli na nikikuambia fulani mzuri pia niamini kwa 100% kutokana na Maarifa ya Soka la Bongo..
Wengine nje ya huku Kuuandikia na Kuuchambua Mpira pia tumeupiga vile vile Enzi zetu hivyo Kwetu kujua kuwa huyu anaujua Mpira au haujui ni Kazi rahisi sana. Nimemtizima Kiufundi na Kumlinganisha na Fiston GENTAMYCINE Mayele na kuona hana uwezo na Simba SC hapa kama Kawaida tunaenda Kukurupuka tena.
Hebu Uongozi wa Simba SC nitafuteni GENTAMYCINE popote pale nilipo ili mnipe Kazi ya Kuwatafutia Wachezaji wanaofaa Kuicheza Klabu yetu ( yangu ) na kamwe hamtokuja Kujutia kwani kwa Utaalam mkubwa wa Jicho la Kimpira na Kiufundi mtanipigia ni Saluti kwa Majembe ambayo nitawaletea kutoka nchi zangu Tano tu za Afrika.
Tafadhali hebu achaneni na Moses Phiri na Mwekezaji Mo Dewji acha 'Ubahili' mwaga Pesa Baba tusajili 'Vyombo' tupu.