Nimemtongoza Jana, leo asubuhi kanitext kapoteza hela zote na hajui afanyeje


Kwani wakati anakukubalia hata hajui jina laki ukifikiri Wewe Ni handsome Kama Jimm reves?
 
Mpatie
Sasa wewe si umekubali kuwa bwana wake auu??
Upendo hauangalii mda kikubwa unayempenda atatue tatizo lake.
Unataka aanze kupata matatizo baada ya mda ganii??
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Shenzi kabisa. Eti unataka aanze kupata matatizo baada ya muda gani hahahaha
 
Huyo demu namjua, ana bonge la mjengo huku Pugu, kajenga kwa Hela za mandezi anazowapiga kindezi namna hiyo.
Yaani utoe laki tano kwa binti ambaye humjui anaishi wapi, anaishi na nani, haaminiki na mzazi wake( rejea alipomwambia mzazi wake kuwa kapoteza pesa then mzazi hajamwelewa).
Je,akimrudishia atasema kazitoa wapi?
Acha ujinga, hilo ni tapeli la mjini.
 
iyo laki unaweza pata vitano kule tele Kila siku ukotao 20 ukapata kimoja au viwili manake ndani ya wiki unaweza piga siku Tano
 
Mpe pole kwa tukio hilo, halafu mwambie muonane ili muongee zaidi.
Ukishaonana naye mwambie utamsaidia laki 2.
Then angalia uwezekano wa kupata burudani kutoka kwake.
Kama upo piga show then mpatie laki 2.
Ampe tapeli laki mbili ina kioo hiyo k yake?
Rejea post yangu #227
 
urafiki wako wa kudumu na shetani umekupa mchongo!

ama nasema uongo ndugu zangu?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Shenzi kabisa. Eti unataka aanze kupata matatizo baada ya muda gani hahahaha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]kwani nimekosea ? Najaribu kuvaa viatu vya kibinadamu.
Mtakuja kujuta pale ambapo ulishindwa kumsadia umpendae kisa hii kasumba ya kuona kila muomba hela ni mdangaji. Saa ingine tunataitiwa kweli
 
Wewe mtumie tu pesa.Kuna siku ataamka anajikuta yuko Buza
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]kwani nimekosea ? Najaribu kuvaa viatu vya kibinadamu.
Mtakuja kujuta pale ambapo ulishindwa kumsadia umpendae kisa hii kasumba ya kuona kila muomba hela ni mdangaji. Saa ingine tunataitiwa kweli
Hahahahahahahahhahaha

Sawa bhana!

Ila hujakosea, nimecheka tu hapo unataka aanze kupata matatizo baada ya muda gani.

Nina dogo wangu mmoja yupo TIA pale mwaka wa pili ananiambiaga mishe zenu. Yeye pia ni she, hahaahahahah
 
Baada ya kupiga sasa unakuta ni mtamu haswa kama yule mchepuko wako sijui utaweka kambi au vipi[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Khaaa jmn [emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtupumzishe sio kwa kutuzalilisha uku umeshindwa kuomba ushaur kwa wanaokuzunguka umeona uje kutuzalilisha si ndio[emoji16]

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Hahahahahahahahhahaha

Sawa bhana!

Ila hujakosea, nimecheka tu hapo unataka aanze kupata matatizo baada ya muda gani.

Nina dogo wangu mmoja yupo TIA pale mwaka wa pili ananiambiaga mishe zenu. Yeye pia ni she, hahaahahahah
Hapaswi kusema siri za jeshi
Ila kama umezoea kujitafutia hela yako kwa Jasho na unaipata huwezi kuwa omba omba.
Hakuna hela ngumu na yenye utumwa kama ya kuomba....kifupi utegemezi ni mgumu kuliko kujitafutia kwa Jasho.
Me nikiwa omba omba jua tuu labda kuna kipindi kigumu au changamoto ninapitia. Na siwezi kufa na tai shingoni wakati watu wapo..na nikikuomba usiposaidia kwa kunihisi nakudanga na uwezo unao ujue ndo mwisho wa hayo mahusiano.
Ila me nina ego ....huwa sipendi kuonekana nalia lia asee.
 
Hii nakujibu kesho
 
Basi wewe una laana ya ukoo. Umemsababishia demu kupoteza pesa. Mpe pesa tu
 
Za kuambiwa changanya na za kwako...

Anakuingiza kwenye kumi na nane akubutue..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…