Nimemtongoza Jana, leo asubuhi kanitext kapoteza hela zote na hajui afanyeje

Nimemtongoza Jana, leo asubuhi kanitext kapoteza hela zote na hajui afanyeje

Jana katika pita pita zangu mjini nilipita mitaa ya karume kule ilala kwa vile wkt nipo mkoa niliskia soko liliungua basi nikasema kwa vile nipo mjini nakula likizo ngoja nikashangae mji.

Sasa ktk tembea tembea pale sokoni nikaiona pisi kali inachagua chagua blauzi za buku buku. Moyo ukafanya "chwaaaaaaaah!!!" Mamamamaaa aisee mjini kuna watoto wakali mazee. Alikua amepiga vile visketi flani vya mpira mpira hips zimechomoza kama vile zinapambana zitoboe ile sketi pembeni zipotelee kusikojulikana. Juu alipiga top halafu kifuani saa sita zimechomoza dizaini kama hakua amevaa bra. Nikajikuta kama nimeduwaa shetani akanishika mkono akaniambia "blaza blaza usinikemee, hakika mm ni rafiki yako wa kudumu [emoji39]"

Nikaanza kujivuta mdogo mdogo kuelekea alipokua anachagua nguo. Mapigo ya moyo yalikua yanaenda kasi mno mpaka nilikua nayaskia hapa kifuani "tu tu tuuuu!!!" Nikamsogelea

Mimi "hello bestie, habari"
Yeye "safi"
Mimi "samahani kama nakufananisha hivi"
Yeye "sio mimi"
Mimi "okay, nina shida nahitaji kuwasiliana na ww.. sijui naweza kupata namba yako?"

Akaniangalia kuanzia juu mpaka chini kisha akanipa kasimu kake ka smart ka Samsung nichore namba yangu. Nikaandika. Nikajibip. Nikamshukuru. Nikasepa.

Huyoooooo nikaenda kituo cha gerezani kudaka mwendo kasi nirudi kitaa. Nikasema simtafuti kwanza mpaka jioni. Usiku nikamtext kumpanga for the next appointment. Ila akawa ananijibu kimkato mkato tu. Nikampandia hewani akakata akaniambia subiri nipo na kaka ntakupigia. Ikabidi nimpige sound ktk sms, akatiki lkn kwa masharti nisimuumize maana mahusiano yake yaliyopita alitendwa na hatopenda kupata experience kama ile. Nikamtoa hofu!

Leo asubuhi nimeamka nimekuta amenitumia bonge la text "baby sorry jana jioni wkt tunaonana nilikua na ela ktk mkoba mzee alinituma nikazitoe benki za mafundi hapa home, kama laki tano. Leo asubuhi kaja fundi nataka nimpe sizioni, nahisi niliibiwa pale Karume... Nimemuambia baba hanielewi, sijui nifanyeje naomba nisaidie..." Text nyngne akaweka vikopa kopa na vile vi emoji kama anaona aibu vile...

Nimeshindwa nimjibu nini aisee

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii mbinu aliitumia mrangi kitambo alipotembelea Iringa. Nakumbuka alitusimulia kitu kama 2018 ndio mwanzoni naanza kumheshimu kwa umjinimjini. Alisema eti yeye ametoka Dar hawezi uziwa mbunye kwa laki mbili na demu wa Iringa [emoji23]

Naamini wauzaji wanaijua zaidi kuliko mtu yeyote so haiwezi fanya kazi
Mkuu kama una mwonekano Wakawaida ,yaan demu aki kuona ni hela ya nyanya , au huko nyuma umewah kua mjanjanja kwenye hela .. Njia hii haifanyi kazi.


Lkn kama at first umerelax, unamwonyesha u Mwenye pesa.

Tayari utamshinda macho yake.
 
Hapo umepata mdangaji na sio mpenzi
(haihitaji kujiuliza Mara mbili)

Kama uwezo unao,
mpe iyo Ela afu nawe mfanye kahaba wako.MFUJE IPASAVYO USIMPE PUMZI. Kisha pembeni endelea na harakati za kutafta mpenz wako.

Akija kustuka na keshaanza kukupenda tayar, wewe Ndo ushapata mpenz wako anayejielewa unampiga chini kwa maumivu makali uku ushampotezea MDA KIBAO na menopause ishasogea.

Ndo dawa ya wadanganji iyo.
Humo humo kabisa umegongea msumari
 
At some point, I decided to chat and deals with only smart girls/women (nisieleweke vibaya please).

You give me any reason to even think that you are just a dumb and broke girl, I dump you.

This is to say, girls need to be smart sometimes.
 
Aisee yaan kirungu hata hujamtongoza au siku hizi ukishapewa no mwanamke ndio tayari ushamtongoza naona hii formula mpya na ishatukuta wengi mimi nilichukuwa no ila yule ilipita kama siku 3 kirungu anataka 50000 nimuongezee akanunue simu hapo sijamtongoza yaan naona kama huu ni utamaduni wao hakuna kushangaa
Daaah nimekutana na Demu Jana sa12 Jioni, nikamtongoza then sa2 usiku nikala Mzigo, Wanawake wa Sasa hawako decent.
.
Kuna Mmoja alishawahi nambia kama unataka mwanamke decent Zaa Wako [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi ukitongoza hukataliwi lakini masaa machache baada ya kukubaliwa unapigwa kirungu cha uhakika..sasa utajua mwenyewe unachomokaje...na demu hapo atakuwa anafanya analysis ya kujua kama wewe ni bwege unayehonga massively au ni kapuku tu asiye na chakuhonga.
Ndio mademu wa bongo walivyo..njaa kali kama wapo jangwani.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom