Nimemtongoza Jana, leo asubuhi kanitext kapoteza hela zote na hajui afanyeje

Nimemtongoza Jana, leo asubuhi kanitext kapoteza hela zote na hajui afanyeje

Siku hizi ukitongoza hukataliwi lakini masaa machache baada ya kukubaliwa unapigwa kirungu cha uhakika..sasa utajua mwenyewe unachomokaje...na demu hapo atakuwa anafanya analysis ya kujua kama wewe ni bwege unayehonga massively au ni kapuku tu asiye na chakuhonga.
Huu mstari tunauitaje? A thin or thick line? Btn bwege and kapuku--- Hakuna intermediate?
 
Uamuzi ni wako kuingia valentine na mpenzi mpya au ubaki na maisha yako na hela yako[emoji23]

Embu tuseme aliibiwa karume,nani alimuibia pale kwenye nguo? Mbona kama vile indirectly na wewe ni mtuhumiwa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwaiyo anamchimba mwizi wake
 
Ha ha ha.....
Huruma ya Nini wkt ananichukulia danga lake.

Akitaka kula, akumbukwe Kuna kuliwa[emoji2]

Tena kwanza hapo mbona nmemhurumia,

Naweza mpa Iyo laki 5,
Kisha mda huo huo nikapitia mlango wa nyuma nikamtegea vibaka wamkabe wamnyanganye Iyo Ela inirudie mwenyewe[emoji4]

Nikitoa laki TU ya kuwalipa vibaka kwa kazi,nabakiwa na laki 4 cash.
Hasara ya laki inakidhi kabisa kufidia ghrama za ule uchafuzi niloufanya kwenye mwili wake[emoji2]

Ndugu yangu we ni mafia sana [emoji3][emoji3]
 
Demu 1 (Mtusi),sijamula bado kaniambia muda huu Ofisini kwake umeme imeisha,ameniambia nimuazime 50,000 anunue umeme.
Demu 2( Mbondei) , huyu ni Single Mama-naye sijawi kumla kaniomba laki 1 apeleke Kikoba.

Kuna demu wangu huwa najipoza poza siku zote huwa mtoto wa Kisandawe anata kesho tutoke OUT.

Sasa hapa nipo napiga hesabu,Wanaume matosa-tena tunayojitafutia mwenyewe.
 
Mpe pole kwa tukio hilo, halafu mwambie muonane ili muongee zaidi.
Ukishaonana naye mwambie utamsaidia laki 2.
Then angalia uwezekano wa kupata burudani kutoka kwake.
Kama upo piga show then mpatie laki 2.
Laki 2 yote hiyo kwa pesa hewa iliyopotea[emoji1787][emoji1787]
 
Siku hizi ukitongoza hukataliwi lakini masaa machache baada ya kukubaliwa unapigwa kirungu cha uhakika..sasa utajua mwenyewe unachomokaje...na demu hapo atakuwa anafanya analysis ya kujua kama wewe ni bwege unayehonga massively au ni kapuku tu asiye na chakuhonga.
So true, Hii ndo gia yetu nowdays
 
Jana katika pita pita zangu mjini nilipita mitaa ya karume kule ilala kwa vile wkt nipo mkoa niliskia soko liliungua basi nikasema kwa vile nipo mjini nakula likizo ngoja nikashangae mji.

Sasa ktk tembea tembea pale sokoni nikaiona pisi kali inachagua chagua blauzi za buku buku. Moyo ukafanya "chwaaaaaaaah!!!" Mamamamaaa aisee mjini kuna watoto wakali mazee. Alikua amepiga vile visketi flani vya mpira mpira hips zimechomoza kama vile zinapambana zitoboe ile sketi
Mbona kawaida tu? Imekuwa coincidence!
 
Ningekua mtoa mada,
Ningetoa iyo pesa Kisha nimtumie haswa haswa Kufidia pesa yangu.[emoji4]

Ntampa Tena Mara 2, Mara 3. Kisha ndo Nijifanye nna malengo naye, hapa ataanza kunipa bure.

Baada ya hapo,
Sasa ile bure bure ntaifululiza mpk ile thamani ya Ela yangu yote irudi mpk ifikie wastani wa 50,000 Kila mechi[emoji4]

BAADA YA HAPO NAMBWAGA Maana ELA YANGU IMETUMIKA IPASAVYO
Kwani mkuu ukimtumia unaondoka na kitumbua chake?

Unamkamua na anapata raha pia anapata na pesa.
 
Jana katika pita pita zangu mjini nilipita mitaa ya karume kule ilala kwa vile wkt nipo mkoa niliskia soko liliungua basi nikasema kwa vile nipo mjini nakula likizo ngoja nikashangae mji.

Sasa ktk tembea tembea pale sokoni nikaiona pisi kali inachagua chagua blauzi za buku buku. Moyo ukafanya "chwaaaaaaaah!!!" Mamamamaaa aisee mjini kuna watoto wakali mazee. Alikua amepiga vile visketi flani vya mpira mpira hips zimechomoza kama vile zinapambana zitoboe ile sketi pembeni zipotelee kusikojulikana. Juu alipiga top halafu kifuani saa sita zimechomoza dizaini kama hakua amevaa bra. Nikajikuta kama nimeduwaa shetani akanishika mkono akaniambia "blaza blaza usinikemee, hakika mm ni rafiki yako wa kudumu [emoji39]"

Nikaanza kujivuta mdogo mdogo kuelekea alipokua anachagua nguo. Mapigo ya moyo yalikua yanaenda kasi mno mpaka nilikua nayaskia hapa kifuani "tu tu tuuuu!!!" Nikamsogelea

Mimi "hello bestie, habari"
Yeye "safi"
Mimi "samahani kama nakufananisha hivi"
Yeye "sio mimi"
Mimi "okay, nina shida nahitaji kuwasiliana na ww.. sijui naweza kupata namba yako?"

Akaniangalia kuanzia juu mpaka chini kisha akanipa kasimu kake ka smart ka Samsung nichore namba yangu. Nikaandika. Nikajibip. Nikamshukuru. Nikasepa.

Huyoooooo nikaenda kituo cha gerezani kudaka mwendo kasi nirudi kitaa. Nikasema simtafuti kwanza mpaka jioni. Usiku nikamtext kumpanga for the next appointment. Ila akawa ananijibu kimkato mkato tu. Nikampandia hewani akakata akaniambia subiri nipo na kaka ntakupigia. Ikabidi nimpige sound ktk sms, akatiki lkn kwa masharti nisimuumize maana mahusiano yake yaliyopita alitendwa na hatopenda kupata experience kama ile. Nikamtoa hofu!

Leo asubuhi nimeamka nimekuta amenitumia bonge la text "baby sorry jana jioni wkt tunaonana nilikua na ela ktk mkoba mzee alinituma nikazitoe benki za mafundi hapa home, kama laki tano. Leo asubuhi kaja fundi nataka nimpe sizioni, nahisi niliibiwa pale Karume... Nimemuambia baba hanielewi, sijui nifanyeje naomba nisaidie..." Text nyngne akaweka vikopa kopa na vile vi emoji kama anaona aibu vile...

Nimeshindwa nimjibu nini aisee
Kama unaijua function ya “block contact” ....”Blacklist contact” itumie haraka sana utakuja kunishukuru!

Hicho kilichokutokea kitaalamu kinaitwa “Karibu mjini”
 
Huu mstari tunauitaje? A thin or thick line? Btn bwege and kapuku--- Hakuna intermediate?
Inaweza kuwa thick au thin..

Thick mfano ni watu wenye hela nyingi lakini ni madomo zege na hawajiamini kabisa..Hawa wanawahonga hata mademu wa kawaida tu hela nyingi..wanatapanya tu hela without hesitation.

Thin mfano ni mtu mwenye hela za ngama lakini zote anahongea papuchi tu hana hata kitanda cha kueleweka.
 
Aisee yaan kirungu hata hujamtongoza au siku hizi ukishapewa no mwanamke ndio tayari ushamtongoza naona hii formula mpya na ishatukuta wengi mimi nilichukuwa no ila yule ilipita kama siku 3 kirungu anataka 50000 nimuongezee akanunue simu hapo sijamtongoza yaan naona kama huu ni utamaduni wao hakuna kushangaa
Nilimtemaga mpuuzi mmoja😅 nakumbuka nilipigaga once nikaenda Bush kulima nikiwa shamba akawa anaombaga hela akanunue simu!

Sikuwahi kumpa na tulipotezana kwa style hio.
 
Back
Top Bottom