Nimemtongoza Jana, leo asubuhi kanitext kapoteza hela zote na hajui afanyeje

Nimemtongoza Jana, leo asubuhi kanitext kapoteza hela zote na hajui afanyeje

Tendo la ndoa sasa wamefanya ni biashara ila bado wanaona aibu kutamka wanauza. Muulize tu short time bei gani na kulala bei gani na kawaida na kwa mpalange bei gani
Hii comment muhimu Sana [emoji16][emoji16]
Always gals huwa Wana play role na ukimya wa mwanaume yaani ukiwa dhaifu wa kuongea, unashindwa kumpa makavu au kumtolea nje ndio Basi Tena kwisha habari yako , Anaona daah boya hili
 
Kahaba siku zote anaongozwa na tamaa, na tamaa Haina kikomo.

Hawez kukublock otherwise ajihakikishie wewe Ni kapuku na hatoweza kupata nyingine Tena kutoka kwako[emoji4]

Ningekua Mimi,
Nampa iyo laki 5 Kisha namuongezea laki 1 ya vocha.
Hapo Lazima awake tamaa.

Na najua Atarudi TU uyo[emoji4]
Chief Ni unpredictable Sana haya Mambo , weee acha tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Fanya kitu kimoja.


Weka kwenye SIMU yako Laki Sita.


Muite aje, mwambie utamrushia hiyo pesa.

Muaminishe kabisa unampa hela hiyo.

Mwagizie misosi mizuri

Mwache arelax.

Piga pumbu yaan mtombe kwelikweli.


Baada ya hapo mkishaoga nn, Mrushie hiyo hela kwenye simu.


Ukishatoka tu. Piga timing Kali RUDISHA MUAMALA WAKO CHAPUCHAPU.



ila U jiandae kwa Matusi makali.....ndivo tunavyodeal na Wadada wa mjini wapenda Pesa .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii mbinu aliitumia mrangi kitambo alipotembelea Iringa. Nakumbuka alitusimulia kitu kama 2018 ndio mwanzoni naanza kumheshimu kwa umjinimjini. Alisema eti yeye ametoka Dar hawezi uziwa mbunye kwa laki mbili na demu wa Iringa [emoji23]

Naamini wauzaji wanaijua zaidi kuliko mtu yeyote so haiwezi fanya kazi
 
Chief Ni unpredictable Sana haya Mambo , weee acha tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Serious nakwambia, atarudi TU.
Ni sawa na Hawa wenzetu wa onenight stand.

Ukipita nae,
kisha Ukimuachia posho nzur ya uchafuzi, baada ya hapo mtakua na mawasiiano mazur.

Sasa wee jichanganye upite nae,
Kisha umuache mikono mitupu ata ya sabuni Wala supu humuachii.

Anakublock na hatak tena mawasiliano na wewe Maana umemchafua, umemuachia shombo lako,mijasho yako na bila ata aibu umemuacha aende zake mikono mitupu[emoji4]
 
Jana katika pita pita zangu mjini nilipita mitaa ya karume kule ilala kwa vile wkt nipo mkoa niliskia soko liliungua basi nikasema kwa vile nipo mjini nakula likizo ngoja nikashangae mji.

Sasa ktk tembea tembea pale sokoni nikaiona pisi kali inachagua chagua blauzi za buku buku. Moyo ukafanya "chwaaaaaaaah!!!" Mamamamaaa aisee mjini kuna watoto wakali mazee. Alikua amepiga vile visketi flani vya mpira mpira hips zimechomoza kama vile zinapambana zitoboe ile sketi pembeni zipotelee kusikojulikana. Juu alipiga top halafu kifuani saa sita zimechomoza dizaini kama hakua amevaa bra. Nikajikuta kama nimeduwaa shetani akanishika mkono akaniambia "blaza blaza usinikemee, hakika mm ni rafiki yako wa kudumu [emoji39]"

Nikaanza kujivuta mdogo mdogo kuelekea alipokua anachagua nguo. Mapigo ya moyo yalikua yanaenda kasi mno mpaka nilikua nayaskia hapa kifuani "tu tu tuuuu!!!" Nikamsogelea

Mimi "hello bestie, habari"
Yeye "safi"
Mimi "samahani kama nakufananisha hivi"
Yeye "sio mimi"
Mimi "okay, nina shida nahitaji kuwasiliana na ww.. sijui naweza kupata namba yako?"

Akaniangalia kuanzia juu mpaka chini kisha akanipa kasimu kake ka smart ka Samsung nichore namba yangu. Nikaandika. Nikajibip. Nikamshukuru. Nikasepa.

Huyoooooo nikaenda kituo cha gerezani kudaka mwendo kasi nirudi kitaa. Nikasema simtafuti kwanza mpaka jioni. Usiku nikamtext kumpanga for the next appointment. Ila akawa ananijibu kimkato mkato tu. Nikampandia hewani akakata akaniambia subiri nipo na kaka ntakupigia. Ikabidi nimpige sound ktk sms, akatiki lkn kwa masharti nisimuumize maana mahusiano yake yaliyopita alitendwa na hatopenda kupata experience kama ile. Nikamtoa hofu!

Leo asubuhi nimeamka nimekuta amenitumia bonge la text "baby sorry jana jioni wkt tunaonana nilikua na ela ktk mkoba mzee alinituma nikazitoe benki za mafundi hapa home, kama laki tano. Leo asubuhi kaja fundi nataka nimpe sizioni, nahisi niliibiwa pale Karume... Nimemuambia baba hanielewi, sijui nifanyeje naomba nisaidie..." Text nyngne akaweka vikopa kopa na vile vi emoji kama anaona aibu vile...

Nimeshindwa nimjibu nini aisee
Acha uboya dogo
 
Fanya kitu kimoja.


Weka kwenye SIMU yako Laki Sita.


Muite aje, mwambie utamrushia hiyo pesa.

Muaminishe kabisa unampa hela hiyo.

Mwagizie misosi mizuri

Mwache arelax.

Piga pumbu yaan mtombe kwelikweli.


Baada ya hapo mkishaoga nn, Mrushie hiyo hela kwenye simu.


Ukishatoka tu. Piga timing Kali RUDISHA MUAMALA WAKO CHAPUCHAPU.



ila U jiandae kwa Matusi makali.....ndivo tunavyodeal na Wadada wa mjini wapenda Pesa .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah akinilia timing na kuitoa haraka si itakua imekula kwangu hii [emoji56]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom