Nimemtongoza Jana, leo asubuhi kanitext kapoteza hela zote na hajui afanyeje

Huyo kamaanisha wewe ndiye mwizi ko anataka urudishe pesa zake😂😂
 
Kutaitiwa kupo,
ila hakuondoi Haina yenu ya asili ya kike. (AIBU).
Mwanamke asiye na aibu Ni very toxic[emoji4]
Sasa lipi jema afe na tai shingoni?? Msikariri maisha. Mbona nyie mnaomba K siku ya kwanza ? Mbona mnakuwa hamna aibu? Me mwanaume wa hivi namuona kama mdangaji tu. Yani umenifaham Leo...umenitongoza Leo...unaomba K Leo?? Ukweli nakuona kama umetumwa na K hutalamba.
 
Anaekuomba k siku Iyo Iyo anataka akutumie, Hilo halina mjadala

Na wewe ukimpiga kizinga siku Iyo iyo unakua sahii 100% ili usitumike bure au too cheap

Kama wanaume tulivo na standards, na wanawake Lazima nanyi muwe na standards
Kwa mwendo huo Inakua tayar mshafikia mkataba, nipe nikupe[emoji4]

Hakuna kulalamika Wala kulia lia[emoji106]
 
Mtu wa maslahi ajifichi mbona, as time goes ataonesha rangi yake halisi.

Ujue binamu tabia ya mtu iko Kama ngozi vile, Ni hivyo hivyo kwa wadangaji[emoji4]
katika transaction yoyote iwe social, economic, au political inafanyika bila pande zote kuwa na maslahi...hata wewe umeona una maslah ya utamu ndo maana ukamtongoza mwenye hips mchomoko
 
Sasa mbona wanaume wanashangaa kuombwa hela siku hyo hyo wakat yeye ameomba K siku hyo hyo?? Kama ulivyosema lengo ni kumtumia basi na yeye asiogope kutumika.
 
Hai7ba transaction yoyote iwe social, economic, au political inafanyika bila pande zote kuwa na maslahi...hata wewe umeona una maslah ya utamu ndo maana ukamtongoza mwenye hips mchomoko
Sahii kabisa,
Nnachokataa always ni ile kujifanya ananipenda KUMBE unanidanga.

Kama Ni mapenzi acha yaflow naturally, ila Kama Ni biashara it's better tukauziana TU Kila mtu afe kivyake[emoji4]

Sio unaniuzia, nishakulipa chako ushatembea mbele.

Baadae unaniletea habar za Kod imeisha, mjomba kameza shoka, mvua imeezua bati.n.k.

Huo utakua Ni upuuzi,
Ni biashara gan Iyo unafanya Haina bima wala haiwez kujilipia Kodi wala kukutatulia changamoto zako binafsi nje ya KAZI.

Sasa
Itabidi iyo biashara ufunge Sasa, ukatafute KAZI nyingine[emoji4]
 
Sasa mbona wanaume wanashangaa kuombwa hela siku hyo hyo wakat yeye ameomba K siku hyo hyo?? Kama ulivyosema lengo ni kumtumia basi na yeye asiogope kutumika.
Ukiona anashangaa ujue uyo Ni mshamba, hajajua yanayoendelea apa mjini[emoji4]
 
Umemparamia Dada jambazi,tuma Hiyo Hela
 
Yaani [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimesoma nimemaliza nimejikuta nacheka ukiona ghafla tu unapigwa na kizinga hata mwezi hamna jua tu hupendwiii unatafutiwa sababu tu ya kuachwa
Pale mtoa mada anatozwa Ada ya usajili kwanza, kabla mengi hayajawa mambo.

Ajajua TU Hilo[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…