The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 2,336
- 3,236
umepanic nini au ni mkeo unadhani?? alafu mbona jibu ni lako lakini unajibu kwa kutumia wingi??Thread za kitoto hizi.
Unatuuliza Sisi tunamjua?
Ulipomtongoza ulitaka akatae?
Kama kuna mitego Sisi tutajuaje??
sawa mkuuBure kabisa !!!!! Beba ky in case of anything
sawaMkutane kwanza hotelini/guest house. Usipende kwenda kwenda nyumbani kwa mwanamke unless uwe umempangishia nyumba wewe
Mafuta gani?Nenda na mafuta
KY au kimboMafuta gani?