Nimemtongoza juzi leo anataka nikamgegede nyumbani kwake

Nimemtongoza juzi leo anataka nikamgegede nyumbani kwake

Mimi niko pamoja na wadau wengine kuwa ubebe mafuta ya mzeituni in case of emergency, Pia kidogo cha kuongeza ni kuwa, usile sana....maana ikitokea mlipa kodi akatinga atakusukumia moto hadi utatapika ubwabwa na juisi ya parachichi uliyoandaliwa na mwenyeji wako.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kmmmk walai nimecheka sana!
 
Wakuu kwema, kuna manzi mmoja hivi nilimtongoza jumanne sasa leo anataka nika mgegedee nyumbani kwake. Ananiambia ameniandalia chakula pamoja na vinywaji hivyo nisiache kwenda

Wakuu nishaurini niende au nisiendee maana waweza kuta nimtego
Mkuu kwani bado hujaenda tunasubiri marejesho
 
Back
Top Bottom