Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,788
- 11,186
Unajua unamshambulia bure tu jamaa.
Mara ooh kwan ulipotongoza mbona hukuomba ushauri.
Mara.... nyiingi.
Mimi nimemuelewa huyu jamaa na hiv ndo uelewa wangu ulipoelekea.
Unajua kwa mwanaume kutongoza huwa sio kitu serious all the time.
Kuna time unatongoza tu kwakua hujatongoza muda mrefu..
Kuna time unatongoza just because u want to prove ur new convicing skills
Kuna time unatongoza ili ku update voko zako unapohis kuwa kama mistari imeshuka viwango.
Kuna time unatongoza ili tu usionekane bwege maana umekaa na mtoto mkali af ukajihis kama hutaonekana mwanaume kamil usipotongoza msichana mrembo.
Kuna time unatongoza kwa kuwa tu umemuonea huruma manzi au uko kwenye daladala safar ndefu na umekaa na mtoto wa kike.
The list is so long..u can add urs.
ILAAA yote kwa yote hapo juu hakuna hata MTONGOZO serious na wala unakua HUTEGEMEI POSITIVE FEEDBACK toka kwa mtongozwaji.U were just doing it for Funny.
SASA tatizo linakuja pale ambapo Receptor side anapo respond POSITIVELLY wakat hata huna nia.
Ndio kama hiv sasa UNAOMBWA UKAMGEGEDE.ndio unapopata kizungumkuti na kujikuta UNAOMBA USHAURI.
sema tu jamaa hajajieleza kwa undani.
NAWASILISHAAAA
NB.
Never be serious always