prince john john
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 2,184
- 3,369
Huyo ni wamkula kimasihara tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwanawake ni viumbe wa ajabu kweli...anakwambia umpe muda afikirie halafu anarudi na jibu ya kuwa anaye mchumba[emoji23]
Ukubwa wa pua si wingi wa kamasiKwenye profile yake kaandika ana 34,kazaliwa 1985 so huu mwaka anafikisha 35
Ni mkubwa sana huyu
Sawasawa fatherhope1985, Umri wako utakua ni mdogo sana. kua na bidii ktk kutafuta maisha na hayo mambo yatakuja yenyewe..nasema umri wako ni mdogo kwa sababu nimetazama jinsi ulivyo andika na ushauli unao utaka kwa watu mpaka nimeshangaa,kua busy na pesa kwa bidii utengeneze maisha badala ya huu upuuzi.
Poa poa Al shaabab[emoji23]Sawasawa father
Kachukue maujuzi kwa uzi pendwaHabari za asubuhi wakuu, kuna dada nipo naye kwenye group moja la whatsapp la mambo ya dini nimekuwa nikichart nae sana mpaka usiku wa manane nilimuomba awe rafiki yangu akakubali bt lengo langu nilitaka nimsogeze karibu kisha nimtokee kweli tumezoeana sana full kumsifia sifia status zake zote sasa niliamua kumpa ukweli wa lengo la kumuomba urafiki.
Mi nataka awe mpenzi wangu na mbeleni nimchumbie ilikuwa ni usiku wa juzi akanijibu ngoja afikirie nimpe muda nikamwambia poa sasa jana usiku akanitumia sms kwamba yeye ana mchumba wameahidiana ahadi nyingi sana na anaogopa kuwa msaliti wa ahadi hizo mmh nikamwambia sawa haina shda na asante sana bs akaanza kulalamika kwamba anajisikia vibaya mi kuumia kwaajili yake.
Nikamwambia hapana nipo pamoja na wewe naheshimu mawazo yako utaendelea kuwa rafiki yangu kiukweli mi nampenda yaani nimempenda sana hata nikimwambia nirushie picha zako anarusha kama 20, hawez kulala mpaka tuagane je wajuba na mabaharia huyu tampata kweli au nimpotezee kabisa. nipeni mbinu mpya.
Hawana akili Hawa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanawake ni viumbe wa ajabu kweli...anakwambia umpe muda afikirie halafu anarudi na jibu ya kuwa anaye mchumba[emoji23]
Mkubwa kwa umri sio AKILI. Angekuwa na akili asingekuwa anakesha kuchat na wadada hadi usiku wa manane.Kwenye profile yake kaandika ana 34,kazaliwa 1985 so huu mwaka anafikisha 35
Ni mkubwa sana huyu
Kwenye profile yake kaandika ana 34,kazaliwa 1985 so huu mwaka anafikisha 35
Ni mkubwa sana huyu