Nimemtongoza kaniambia ana mchumba lakini...

Bint anaumri gani?

Hapo pita ondoka ndivyo alivyo maanisha
 
Mwanawake ni viumbe wa ajabu kweli...anakwambia umpe muda afikirie halafu anarudi na jibu ya kuwa anaye mchumba[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa sisi mabaharia, ngoja nikupe tips hii, hawa mademu wanozugaga ni walokole na wapo kwenye magroup ya dini, wote huwa wanamajibu ya hivyo, kwani wengi wao wanachepuka, hivo ili siku akijakukupa PAPUCHI usistuke usipokuta bikra, au siku ukamfumania au ukakuta anachat na njemba, jibu atakalokupa ni "huyu ndo yule mchumba/KAKA niliyokwambiaga ila bado ananisumbuaga".
 
Kwenye profile yake kaandika ana 34,kazaliwa 1985 so huu mwaka anafikisha 35

Ni mkubwa sana huyu
Ukubwa wa pua si wingi wa kamasi
Katika umri huo lazima akili iwe imetulizana unless awe lucid
 
Sawasawa father
 
Waswahili walisema "Kisebusebu na kiroho papo".

Sasa si kashakwambia ana mchumba na umesema umekubali, au?
 
Kachukue maujuzi kwa uzi pendwa
 
Kajlie tunda afu mwache.....usiwe bwege baharia uwa haachi ktu.......
 
Mwanawake ni viumbe wa ajabu kweli...anakwambia umpe muda afikirie halafu anarudi na jibu ya kuwa anaye mchumba[emoji23]
Hawana akili Hawa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

One love
 
Sasa una chat Hadi sanane afu ujui Kama utampata ? Huwa mnachat nini Sasa? Kijana jichunge Sana ?

Ni sawa na guys unakuta anaambatana na rafiki wa kike afu anasema ni rafiki tu? Sijui huwa wanazungumza mambo yapi?

Dunia yangu ni ya ajabu , nikamuomba urafiki garl, akirogwa akajibu chat zangu 5 with passion lazima aliwe.
 
Kwenye profile yake kaandika ana 34,kazaliwa 1985 so huu mwaka anafikisha 35

Ni mkubwa sana huyu
Mkubwa kwa umri sio AKILI. Angekuwa na akili asingekuwa anakesha kuchat na wadada hadi usiku wa manane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…