Nimemtongoza kanijibu hivi, nifanyaje?

Nimemtongoza kanijibu hivi, nifanyaje?

kenny mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2021
Posts
316
Reaction score
848
Wakuuu naombeni mbinu nimepewa jibu ili vipi APA?
Kakubali hau kazingua hau ananichoraaa??
Screenshot_2023-01-07_001933.jpg
 
Wakuuu naombeni mbinu nimepewa jibu ili vipi APA?
Kakubali hau kazingua hau ananichoraaa??
View attachment 2471471
Ameelewa . Kasema ameelewa. Kwa ufafanuzi zaidi washirikishe wazazi wako, maana kama wana mpango wa kukopa ada mkopo wa kausha damu, bora wakanunue mbuzi wa maziwa wafuge
 
Mimi majibu hayo ya nimekuelewa nimeshapewa sana huwa mara nyingi wanamaanisha wamekubali,sasa hapo muulize umenielewa ina maana umekubaliana na ombi langu atakujibu!
Hahahahah kaka nikimuuliza hivyo si ataniona kolo hau?[emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom