Nimemtongoza kanijibu hivi, nifanyaje?

Nimemtongoza kanijibu hivi, nifanyaje?

Watu bado mnatongoza hivyo.

Siku hizi kuna njia mbili.

1. Demu ukimuelewa unaweka ukaribu nae, mpka anaelewA tuu, then una mtoa out/ au unamuita gheto( hapa inategemea na hadhi ya demu). Kifuatacho .......

2. Au una mpa pesa....
Kweli ila huyu Demu Nina ukaribu nae kama miezi miwili Leo ndio nimemtongoza
 
Wakuuu naombeni mbinu nimepewa jibu ili vipi APA?
Kakubali hau kazingua hau ananichoraaa??
View attachment 2471471
Mkuu kwanini uaomba msamaha? Yan unataka akukubalie kwa kukuonea huruma na sio kwakukupenda... Kwani ukimwambia mtu unampenda kimapenz unakua unamkosea? Aisee we jamaa wanawake watakutesa sana aisee... TAFUTA HELA USIWE UNAOMBA MISAMAHA YA AJABU AJABU... MPAKA NAKUFA SIJI KUOMBA MSAMAHA KWA KOSA AMBALO SIJAFANYA MIMI..
 
dah! samahani ni nyingi mno, najaribu ku-imagine kwamba hapo ni messages na hamuonani je, livelive si ungeishia kuchekacheka tu mkuu, Alafu mwenzako sahivi napenda za livelive maana ndo unakubalika fasta maana wa messages washazoeleka gia zilezile
 
Kaka ni Demu ninaeshimiana nae sana halafu mlokole kinoma lazima uoga
Tena walokole na hawa wanajitia born again sijui new born again ndio wanapenda kutiwa vibaya sana na wanatiwa sana mwisho wa mwaka maana wanajifanya wanafuga nyege kwa hio mwisho wa mwaka pale kwenye kusherehekea mwaka mpya wanapigwa sana mitishamba, usijotoe akili
 
Mkuu acha UJINGA. Hizi habari za kujudge a book by its cover zitakuponza..kwamba ulokole ndo nn., tena hawa wafia dini ndio wana MIENENDO MIBAYA KUPITILIZA.
Use your brain, acha kutumia kichwa kama kabati la kuhifadhi meno..

ova.
Sawa
 
Back
Top Bottom