Nimemtongoza kanijibu hivi, nifanyaje?

Nimemtongoza kanijibu hivi, nifanyaje?

Sometime brother jitahidi kupiga simu ukihitaji kutongoza nakwambia ivo kwasababu nimeona muandiko wako hapo so mzuri first mwanamke akisoma atagundua ulikuwa unatype katika hali ya kutokujiamini,,,,ndo maana amekujibu short and clear jambo ambalo limekuacha kwenye maswali mengi....ushauri wangu,,,try to be a Gent Bro
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi majibu hayo ya nimekuelewa nimeshapewa sana huwa mara nyingi wanamaanisha wamekubali,sasa hapo muulize umenielewa ina maana umekubaliana na ombi langu atakujibu!
Ombi gani akati umetoa taarifa ,vijana hapo tu umetumia sms hamuonanani umetetemeka hivyo je uso kwa uso siitakubidi ule ugoro
 
Back
Top Bottom