Nimemtongoza kanijibu hivi, nifanyaje?

Nimemtongoza kanijibu hivi, nifanyaje?

Watu bado mnatongoza hivyo.

Siku hizi kuna njia mbili.

1. Demu ukimuelewa unaweka ukaribu nae, mpka anaelewA tuu, then una mtoa out/ au unamuita gheto( hapa inategemea na hadhi ya demu). Kifuatacho .......

2. Au una mpa pesa....
Kila mmoja ashinde mechi zake. Hayan formula haya. We' tongoza vyovyote mradi tu ujumbe kaupata.
 
Duh Kama ndo umetongoza hivi kwakweli kwa mtazamo wangu nimeona vitu vifauatvyo kwako.

1.Hujiamini(kutokana na maneno uliyotumia "Kama nakupenda hivi",samahani samahani" na njia uliyotumia kufikisha ujumbe")

2.Unaweka sura ya huruma kwenye Jambo lisilohitaji kuhurumiwa.

3.Huna uwezo wa kutawala maongezi Wala kumtawala mwanamke na mwisho utapata tabu kwenye hayo mahusiano.

MWISHO KILA LA KHERI
 
#MREJESHO#**************************
Asubuhi kanipigia simu nimeongea nae vzr tu na nimemuomba Leo tuonane kakubali vizuri tu [emoji39][emoji39][emoji39] kanielewa sana japo ni Demu ninaeshimiana nae sana ndio maana nilimtumia SMS ya maelekezo mengi nashukuru amenielewa ila wadau penzi jipya nn cha kuzingatia wakuu lisivunjike haraka?
Sasa hakikishika jioni anashikwa kiuno mkiwa uchi wa mnyama
 
Duh Kama ndo umetongoza hivi kwakweli kwa mtazamo wangu nimeona vitu vifauatvyo kwako.

1.Hujiamini(kutokana na maneno uliyotumia "Kama nakupenda hivi",samahani samahani" na njia uliyotumia kufikisha ujumbe")

2.Unaweka sura ya huruma kwenye Jambo lisilohitaji kuhurumiwa.

3.Huna uwezo wa kutawala maongezi Wala kumtawala mwanamke na mwisho utapata tabu kwenye hayo mahusiano.

MWISHO KILA LA KHERI
Daaah
 
Dawa za kutibu U.T.I ni Azuma au maganda ya miwa na nanasi.

Jiandae kwa doz maana dem anaonekana si mgeni kwenye mitongozo
 
Back
Top Bottom