Nimemuacha mkurya rasmi

umukagame

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2014
Posts
1,044
Reaction score
673
Wakuu wangu shikamooni,

Kitambo sijakuja humu lakini shule ilibana na nilikuwa nimechange life style kidogo

Nimemuacha yule mkurya wangu leo rasmi coz nahisi nina matatizo kila wakati analalamika sitekelezi vile anapenda na nimeona nisimpotezee muda bado sihitaji kuwa in seriously relationship moyo wangu hauko tayari.

Nahisi mume wangu bado sijamuona, bado hajazaliwa musinichoshe niacheni nisome au niwamention hapa mnielewe?
Am very sory for dat
 
Ngoja niringe aisee "wanaume tuko wachache" siku hizi mmekuja na style za kututafuta kabisa
 
Mmmmmmh! Hayaaaaaaa!

There is no perfect man, you just take a pretty much average Joe in everything, and MOULD him to anything close to your dreams!

Unless iwe na nyota kali kama mimi kiokota fuko la mihela kwenye maandamano! Piko wa moyo wangu(Hili neno credits kwa Super Model Belinda Mgeni na baby dady wake Msambaa mwenye mahela na binti yao cheupe dawa!) Matola, im missing you every second!
 
Last edited by a moderator:
Daaaaaa, mapenz mi naangaliaga tu, maan nahisi yamenishinda
 
genye siku hizi zinafumuka vibaya, zinafumukia kwenye keyboard.
 
This was UNNECESSARLIY RUDE to a sister! Just thinking out loud!
Naomba nimtetee maana huyu naye kazidi kuwa fake



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…