Nimemuacha mkurya rasmi

Nimemuacha mkurya rasmi

Saa hii mwanume ni bonge la dili. Yani kila kukicha wa kike wanatafuta mbinu za kujilahisi. Na bado mzee wewe unasema mume hajazaliwa? Imekula kwako
 
Wakuu wangu shikamooni,

Kitambo sijakuja humu lakini shule ilibana na nilikuwa nimechange life style kidogo

Nimemuacha yule mkurya wangu leo rasmi coz nahisi nina matatizo kila wakati analalamika sitekelezi vile anapenda na nimeona nisimpotezee muda bado sihitaji kuwa in seriously relationship moyo wangu hauko tayari.

Nahisi mume wangu bado sijamuona, bado hajazaliwa musinichoshe niacheni nisome au niwamention hapa mnielewe?
Am very sory for dat
Mkurya kashakukoroga unataka nani ale matapishi yake? wewe kuwa sister tu na achana na biashara ya kuwalisha watu matapishi ya mkurya...

 
Mmmh huyo mkurya ndo yule HB wako wa kiislam ama??
 
Naomba nimtetee maana huyu naye kazidi kuwa fake



Still ANA HAKI YA KUPOST CHOCHOTE AFU HAJATUMA KADI ZA MUALIKO! Kama mmemjua fake mngempotezea tu!
 
Mmmh kama wewe ndo tatizo
Jitahid kubadilika kwenye penzi lipwa utakalokuja kuanza
 
Back
Top Bottom