Nimemuacha mume wangu kwa ajili yake yeye hajali kanitelekezea watoto wake!

Ujembe huu watumie wanawake wote duniani wasio na akili
...zingatia neno "wasio ma akili"
 
We we sio mzima
 
Ujumbe wangu Kwa Wanawake, Mwanaume yoyote ni Mwema akiwa hajakukula, akishakukula tu mpe miezi michache.

Ule Upendo, kule kujari, hakupo tena...!

Hakuna Cha ajabu kwenye hii story ambacho Mwanamke hawezi kufanya...!

Wote tulisoma habari juzi hapa Mwalimu huko Morogoro aliyeuwawa na Mke wake mwenyewe Kwa kushirikiana na mchepuko wa Mkewe ambaye ambaye ni bodaboda, na Tena wamezaa Watoto, kama hili lilitokea, ni Nini Cha ajabu kwenye hii story.....!

Wanawake yote mnayotaka toka Kwa Mwanaume hakuna Mwanaume chini ya Jua anayeweza kukutimizia....!

Ushauri wangu Kwa Wanaume...!

Ogopa Sana Wanawake wenye Muonekano na Sura kama Midori...!
-Wanapenda kudekezwa hata kama wao ndo wakosefu.
-Wanapenda uwajari wao tu.
-Wanataka full time 24/7 uwe Romantic.
- Wanapenda kuambiwa maneno Matamu muda wote hata kama ni uongo.
-Wanapenda kutumiwa messages muda wote kila siku, bila kusahau zile messages za "Babe usichelewe kula utapata vidonda vya Tumbo"

Wapo tayari kuvitafuta hivyo tu huko nje tena Kwa muda tu wakiamini vitapatikana siku zote.

Wako Wanawake wengi wenye Muonekano wa kawaida, mkishafunga Ndoa, Mkazaa Watoto..... Kama unahudumia familia Vizuri, unasomesha Watoto, mahitaji yote Muhimu yapo Nyumbani, haumizwi kichwa na issue za kusema Kwa Nini siku nzima hunitumii message kuuliza kama nimekula, haumizwi kichwa na habari ya Mumewe kurudi saa 4 ama saa 6 usiku....!
Na Hawa ndo Ndoa zao nyingi zipo salama....!

Maisha ni kupanga na kuchagua.
Bahati Mbaya Wanaume tumeumbwa na Silka aina Moja, ukitukoroga... HATUJARI TENA, hata uwe ni Mtoto wa MAMA SAMIA, HATUJARI...!
 
Mwandiko wa kiume huu


Acha ushoga dogo.
 
Walimu mkipata KAZI ni KAZI pia ya kufanyana ovyo tu.
All the best
 
natamani ata iyo mimba ikae humo tumboni miezi 15 na ujifungue kwa operation na itakuwa funzo kwako na kwa wanawake wa kariba yako
Siku zote mwisho wa ubaya aibu
 
Hakuna excuse kwenye ku cheat....ukishajijuwa umeoa au kuolewa.....kama changamoto ni distance kaeni muangalie namna ya kuitatua huku mkizishika nafsi zenu.....

Hakuna cheating ya ghafla....wengi wanakuwa wameshapanga na wanatafuta excuse inayofanana na uhalisia ili kufanikisha jambo lake...


Ndoa ni ups and downs.....
 
Mimi mkristo naamini distance inaweza sababisha mpasuko mkubwa kwenye ndoa. Naamini Adam asingeachana na Hawa kwa mda tu nyoka asingeweza kuwadanganya wakiwa wawili.

So, yeah distance inaweza kuleta madhara makubwa tena sana!!
 
Nimetoka kumuambia mke wangu hao wanaojifanya wanakujali ni kwa sababu bills zako zote nalipa mimi ipo siku nitawaachia jumla ili waone ninachofaidi na utanikumbuka mbwa mkubwa weye.
 
Kama ulizungunza ni kweli basi na bado yani mpk useme

Matendo yko umemzidi shetani

Ivi kuna shetani anachepuka na shetani mwenzake?
 
Nimetoka kumuambia mke wangu hao wanaojifanya wanakujali ni kwa sababu bills zako zote nalipa mimi ipo siku nitawaachia jumla ili waone ninachofaidi na utanikumbuka mbwa mkubwa weye.
Kwani shemeji ameanza tabia za ukorofi mkuu?

Mara nyingi hawaoni thamani yetu hadi tuwape red card ndio akili inawakaa sawa.
 
.
 

Attachments

  • 71A94035-E8EF-43E8-A6DF-838F49FB7D59.gif
    1.5 MB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…