Mara zote hizo walikubaliana kwenda bungeni. Lakini safari hii walikuwa hawajakubaliana. Kwa nini sasa atumie njia za udanganyifu? Usitunge sababu za uongo eti sababu wanaume hawatakuwa wabunge, hapo umezusha uwongo.2010 Dr Slaa si aliibiwa kura?
2015 Lowassa si aliibiwa kura?...
ok, nimekufahamu.Anaweza. Rais Mstaafu Kikwete aliwahi kumteua Mhe Mbatia akiwa si MwanaCCM. Na nimeeleza kuhusu hilo kwenye mada yangu
Kwa hiyo tukubali tu kuwa mfumo wa Tanzania ni wa chama tawala kuiba kura? Sisemi kama mara zotehizo ulizozitaja kuwa kuliibiwa kura kwa sababu sina ushahidi kama ambapo sina ushahidi mara hii, nisichokubaliana na wengi wenu mnaokuja na sentensi hizi za kuwa huko nyuma kura ziliibiwa na mara hii ikubalike tu.2010 Dr Slaa si aliibiwa kura?
2015 Lowassa si aliibiwa kura?...
Tunafanya uchaguzi bawacha kupata mwenye kiti mpya, hivyo halima akiomba radhi kurud atakuwa tu mwanachama tu wakawaida.,Leo, kama mtanzania wa kawaida nisiye mwanachama wa chama chochote cha siasa nchini na kwingineko, nimepata bahati ya kumsikiliza Mhe. Halima Mdee aliyekuwa mzungumzaji mkuu kwenye mkutano wao na waandishi wa habari...
Je, amekiri kughushi nyaraka?Leo, kama mtanzania wa kawaida nisiye mwanachama wa chama chochote cha siasa nchini na kwingineko, nimepata bahati ya kumsikiliza Mhe. Halima Mdee aliyekuwa mzungumzaji mkuu kwenye mkutano wao na waandishi wa habari...
Somo hili kwa bahati mbaya sana halieleweki kwa Ndugai.Leo, kama mtanzania wa kawaida nisiye mwanachama wa chama chochote cha siasa nchini na kwingineko, nimepata bahati ya kumsikiliza Mhe. Halima Mdee aliyekuwa mzungumzaji mkuu kwenye mkutano wao na waandishi wa habari...
Anaweza. Rais Mstaafu Kikwete aliwahi kumteua Mhe Mbatia akiwa si MwanaCCM. Na nimeeleza kuhusu hilo kwenye mada yangu
Hata Mzee Msekwa ndivyo anavyojua hivyo. Mtu angemhoji Jaji Mzee Warioba angesema hayo hayo. Mheshimiwa Ndugai hajui hayo. Akishaapisha ameapisha. Sheria zote hazi-apply baada ya yeye kufanya kiapo. Anajua kuwa hesabu zake za kuongoza bunge lisilo na wapinzani hazikubali. Ndio maana anahaha na kuharibu kutumia nguvu na kila ubabe. Sijui kama atafanikiwa.Leo, kama mtanzania wa kawaida nisiye mwanachama wa chama chochote cha siasa nchini na kwingineko, nimepata bahati ya kumsikiliza Mhe. Halima Mdee aliyekuwa mzungumzaji mkuu kwenye mkutano wao na waandishi wa habari....
Hiyo ni busara nzuri kwa ustawi wa chamaLeo, kama mtanzania wa kawaida nisiye mwanachama wa chama chochote cha siasa nchini na kwingineko, nimepata bahati ya kumsikiliza Mhe. Halima Mdee aliyekuwa mzungumzaji mkuu kwenye mkutano wao na waandishi wa habari...
Unaota weweKikatiba hao siyo wabunge tena wa bunge la JMT,mara tu baada ya kuvuliwa uanachama
Ndiyo tushawafukuza uanachama sasa na yale mabillioni mnayoyapigania muyapate toka kwa mabeberu hamuyapati maana taarifa za kufutiwa uanachama hao wabunge tayari wanazoUnaota wewe
Vyama vya kisanii utavijua tu,mbona Aida hamjafukuza?mbona madiwani wanaapa hamjawafukuza?
Ile siku bwana mdogo Ndugai anamuapisha Polepole lakini anaongelea mambo ya Chadema na kusema kuna "unyanyasaji wa kijinsia" akiwatumia akina Halima Mdee kama Mfano. Halima anafanya press yake na kusema Chadema hakuna mfumo dume kama inavyoelezwa, maana wao wamekuwa viongozi huko. Ndugai anajionaje?Umeamua na kuchangia vyema mawazo yako. Lakini, kauli ya kutokuwa na chama ni muhimu kwangu kuonyesha jinsi nisivyolalia upande wowote kisiasa. Ubarikiwe sana!
CCM haipo hivyo tena. Haiangalii utawala wa sheria. Kwa kuwa hawana tena ridhaa ya walio wengi hutumia hoja ya nguvu na ubabe. Walipora kwa nguvu uchaguzi wa vijiji na serikali za mitaa. Haiwezekani kwa levo ya upinzani ilipofikia CCM wapate asilimia 100 ya mitaa na vijiji vyote. Uharamia ulitumika. Wamepora uchaguzi wa madiwani, wabunge na raisi.Rule of law should be a cornerstone of our nation! Even the persons that have the power to be above the law by instruments, should observe the existence of such instruments as the law itself !
Wenye mamlaka wasitumie mapungufu ya kisheria yanayotoa mianya ya ubabe kuwa wababe. Huo ni ushamba uliopitiliza.
☝️☝️Tano, iko wazi kikatiba (na haijalishi kauli ya yeyote yule) kuwa Mbunge anapopoteza uanachama wa chama kilichompendekeza na kumdhamini, ubunge wake hukoma pia. Hivyobasi, kwa kufukuzwa uanachama wao (kwakuwa uamuzi wa CHADEMA bado haujabadilishwa au kubadilika) Mhe. Halima Mdee na wenzake 18 walikoma kuwa Wabunge kikatiba na kisheria..
Maajabu ya Rahman ! Hata saa mbovu wakati mwingine huonyesha majira sahihi .Afanye kama alivyofanya Sofia Simba wa CCM!
Mh. Mdee akifanya hivi itakuwa ni unyenyekevu na ataonesha kweli anamaanisha kutaka maridhianoAandike barua kwa spika, amweleze hawezi kuwa mbunge viti maalumu sababu hana chama, hivyo atangaze kujiuzulu ubunge viti maalumu hadi watakapopata baraka za chama. Hapo atakuwa ameyataka maridhiano