Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inaonesha ww unajihisi umesoma,walosoma wakaelimika huwa hawadanganyi,,,,,Hii pia hainiingii akilini hivi utafukuzwaje kwenye ukumbi hali upo hapo kwa mkataba wa kisheria au huo ukumbi anapiga kienyeji? Mimi namshauri jide aende shule hajachelewa sana. Elimu itamfanya aweze kutunga hata uongo wenye akili lakini sio huu wa kitoto. Shule muhimu
nilichojifunza kwamba watanzania wengi tunalewa madaraka sasa haka nako karadio manager tu, kanaanza kutoa amri na majigambo yasiyokuwa na maana, eti hamna kupiga bongo flavour, hivi aliwafikiria waskilizaji alivyotoa amri yake , jamaa kilaza kweli hata na wewe unayemsapoti na ujinga wake nakushangaa sanaWho is jay dee katika nchii? Ana elimu gani au kipaji gani? Unaweza ukajibu simple kuwa alikuwa mtangazaji wa clouds je utangazaji alibebwa au alikuwa na vyeti? Nani angemjua jey dee bila clouds? Watu watasema ana kipaji .kama una kipaji means una washabiki . Hivi kama una kipaji utaogopa radio isipopiga nyimbo. Kuna radio ngapi tanzania au duniani . Wakikubania clouds peleka nyimbo yako radio zingine ikibidi hata kenya na uganda. Ruge amesema watanzania muache ubinafsi na mkubali kupokezana vijiti . Wewe unataka usikike wewe tu kwani wewe nani kama vipi fungua radio yako piga nyimbo zako usiku kucha. Au rekodi harafu uza si una washabiki. Au nyingi haisikiki hadi ipigwe clouds . Gadna habash bila clouds angeishia huko mwanza na kumbuka alikuwa mlokole.nani angemjua gadna. Nani angeenda nyumbani lounge kama sio kivuli cha clouds. Jay dee anasema alinyonywa . Hivi utapaje mafanikio bure. Kikwete alisema kula na wewe uliwe. Mpaka alisema kama wewe maarufu basi hama ccm. Clouds ilikuwepo , ipo na itaendelea kuwepo . Walikuwepo watu maarufu kama akina kaka bonda ,masudi kipanya na wengineo wengi je wapo wapi sasa.kama wana vipaji mbona kimya. Clouds ni radio binafsi na inaendeshwa kibinafsi ila inafuata sheria . Kama unaona unaonewa kashitaki . Mbona mnapopata faida kupitia clouds hamsemi
Waige Ustaarabu wa Kipanya Masoud unaondoka unaendelea na Ishu zako mambo ya ku snich ya kishamba na kizamani!
Mkuu naona huelewi mambo au unajaribu kuchanganya vitu,hebu kasikilize kwanza antivirus volume 1 na 2,ndy uje hapa uanze kubwabwaja maneno yako naona hujamuelewa komandoo.
Kuhusu kipanya na jide huwezi kuwalinganisha hata kdg,jide anapigania mzk ss kipanya naye ni muimbaji?..
Who is jay dee katika nchii? Ana elimu gani au kipaji gani? Unaweza ukajibu simple kuwa alikuwa mtangazaji wa clouds je utangazaji alibebwa au alikuwa na vyeti? Nani angemjua jey dee bila clouds? Watu watasema ana kipaji .kama una kipaji means una washabiki . Hivi kama una kipaji utaogopa radio isipopiga nyimbo. Kuna radio ngapi tanzania au duniani . Wakikubania clouds peleka nyimbo yako radio zingine ikibidi hata kenya na uganda. Ruge amesema watanzania muache ubinafsi na mkubali kupokezana vijiti . Wewe unataka usikike wewe tu kwani wewe nani kama vipi fungua radio yako piga nyimbo zako usiku kucha. Au rekodi harafu uza si una washabiki. Au nyingi haisikiki hadi ipigwe clouds . Gadna habash bila clouds angeishia huko mwanza na kumbuka alikuwa mlokole.nani angemjua gadna. Nani angeenda nyumbani lounge kama sio kivuli cha clouds. Jay dee anasema alinyonywa . Hivi utapaje mafanikio bure. Kikwete alisema kula na wewe uliwe. Mpaka alisema kama wewe maarufu basi hama ccm. Clouds ilikuwepo , ipo na itaendelea kuwepo . Walikuwepo watu maarufu kama akina kaka bonda ,masudi kipanya na wengineo wengi je wapo wapi sasa.kama wana vipaji mbona kimya. Clouds ni radio binafsi na inaendeshwa kibinafsi ila inafuata sheria . Kama unaona unaonewa kashitaki . Mbona mnapopata faida kupitia clouds hamsemi
we paper wewe mbona hao kina Rughe hawajawabeba dada zao waje mambebe Jide,kipaji nacho kinahusuJide naona menopause imemjia vbya.Jide alibebwa hata asibishe, hana la kumfanya msanii best artist wa like
na htaa ambapo wakistandadize ataendelea kubakia hivo hivo as form four failureHuyo ni wale wale waliipata zero ambao wanasubir standardazation...mbwa kabisa clouds baba ako?
Hivi mtu mwenye akili timamu aliyelelewa kifamilia asiyevuta bangi anaweza akapata muda wa kusikiliza matakataka yaliyoimbwa na wahuni wavuta bangi yanayoitwa anti virus.
Nimesema hivii reo hakuna kupiga bongo freva..Umeniereuwaaa???
We kupe acha us3nge wako ruge anakukabang mxxxxuuuiii
Hii pia hainiingii akilini hivi utafukuzwaje kwenye ukumbi hali upo hapo kwa mkataba wa kisheria au huo ukumbi anapiga kienyeji? Mimi namshauri jide aende shule hajachelewa sana. Elimu itamfanya aweze kutunga hata uongo wenye akili lakini sio huu wa kitoto. Shule muhimu
hivi wewe unazijua fitna kweli!?umewahi pata mafanikio yoyote makubwa!?..mara ngapi unahisi rafiki zako wanakufanyia mtima nyongo ila unapotezea ndani kwa ndani!!!wewe hujui ruge alivyo!!?cna uhakika kuhusu huyo joh ila pia kwa kibinadam anaweza kuadopt au kuikubali roho mbaya!cmpendi sana jide coz of personal issues but what she is sayin might be true...jamaa wanamkaba tangu benpaul anajitoa kwa show yake...kama mtu unaweza kupima tuu kwa uelewa sasa nani asiejua kuwa ruge anaweza kubana japo kwa siku hizi mambo yanabadilika na itamuwia ngumu kidogo kucontrol kitengo cha fitna sababu jide ka counter attack..kaziba ufa kwanza.nani anabisha jide hana kipaji!?Kwa hiyo ruge na clouds wanataka wakikutoa pia wakunyonye au vp?hakuna cha bure bt ambacho clouds hufanya ni exsesivu unyonjaji!?ndio mapromota wanaoongoza kulipa vibaya wasanii...me cjui kama redio clouds ni nzuri au mbaya ila nnachojua inatumiwa sana kwa personal issues>>>>>kama jide anapita humu anijibu swali langu dogo tu,kwani ni lazima nyimbo zako zipigwe clouds ili uishi?kama wewe ni msanii mkali mashabiki watazipenda tu kazi zako na kuzinunua/kuzifuata hata kama zinapigwa baa ya mnazi so kwa nini chuki hiyo?don't tell me ruge anacontro soko la muziki tz na anaamrisha tu huko mtaani wadosi wafanye nini!!!kama ni hivyo basi inatakiwa afungwe jela coz anaiendesha nchi kinyemela!!!!