Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
sio wale kuishia njiani... Wanaponda tu bila way forwardMaoni yenye ushauri Umefanya vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio wale kuishia njiani... Wanaponda tu bila way forwardMaoni yenye ushauri Umefanya vizuri
Thomas alikuwa talented boxer Ila hakuwa na nidhamu,Marehemu Thomas Mashali, Mbwana Matumla hawa ndio walikuwa maboxer, Marehemu Mashali alikosa discipline ya maisha akapotea.. Kwa sasa namuona Dullah Mbabe anakuja vizuri huyu Mwakinyo amepata promota au management nzuri inambeba lakini ni wa kawaida sana..
Watanzania wenzangu michezo ni fursa hebu wale wenye vipato mjaribu kuchukua management ya hawa watu kuanzia boxing, football na basketball.. Uwekezaji kwenye tasnia ya sports unalipa..na Tanzania vipaji viko vingi tatizo havifikiwi na hakuna watu serious wakuendesha hii biashara.. Nawaona maboxer wengi sana uswahilini huko ambao kama wanapata bahati ya kuingia kwenye ring za USA na EUROPE ni biashara kubwa sana..
Ndugu kwenye boxing kuna kitu kinaitwa weight divisions! Watu walikuwa na maana sana kuweka mgawanyiko wa uzito mwakinyo ni welter weight na Antony ni heavy weight mzeemwakinyo ana uwezo wa kumpiga antony joshua
Fanya mazoezimmmh.! kumbe ana miaka 24.? kweli maisha tunatofautiana, me nina 20 lakini naonekana mzee zaidi yake.
Hiyo chattopaw kaka akikutana na wanaotumia Ikungipaw atapata tabu sanaaa.