Mwandiko mzur[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haha utasababisha dogo wa watu alie machozi.
Afu akiona tu kimya ajue tumehamia whatsapp video call
Raha ya keki ikae kwenye friji langu afu kuna koni nlimnunulia ipo kwenye freezer home akija nampaHeshima mkikutana maeneo inatoka. Anakuja gheto?
Asante [emoji120] [emoji120]Mwandiko mzur
Hahaha don't be...Duh!! Am speechless
Haki, nimekosa cha kusemaHahaha don't be...
We jamaa kibokoHaha utasababisha dogo wa watu alie machozi.
Afu akiona tu kimya ajue tumehamia whatsapp video call
Huyu si ni dogo, ana mafantazia yake.Sasa pm ni btn watu wawili wewe unajuaje tena???? Hebu bwana
Sasa ukikosa cha kusema uzi utalala huu sema chochote madamHaki, nimekosa cha kusema
[emoji23] [emoji23] [emoji23] asanteni kwa kuniongezea siku za kuishiHuyu si ni dogo, ana mafantazia yake.
Umekuwa mganga wa kienyeji siku hizi?Huyo ivuga namjua sana. Pm zake huwa nazisoma
We jamaa una akili ka za nyiguRaha ya keki ikae kwenye friji langu afu kuna koni nlimnunulia ipo kwenye freezer home akija nampa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzi wa watu tumeuvamia bila hata hodi mwenye uzi hadi kakimbia sio fairSasa ukikosa cha kusema uzi utalala huu sema chochote madam
Nyigu yupoje?We jamaa una akili ka za nyigu
Hahaha anachungulia kwa mbali sasa ameamua kuwa domo zege si tufanyeje amewaacha watu wanagesi tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzi wa watu tumeuvamia bila hata hodi mwenye uzi hadi kakimbia sio fair
Mhhh mnakuwa pamoja??? Au unaimua oassword ya account yakeHuyo ivuga namjua sana. Pm zake huwa nazisoma
Koni tena?Raha ya keki ikae kwenye friji langu afu kuna koni nlimnunulia ipo kwenye freezer home akija nampa
Mafantazia ndio manini jombaa?Huyu si ni dogo, ana mafantazia yake.
Dogo kiazi huyoMhhh mnakuwa pamoja??? Au unaimua oassword ya account yake
Tafuta maana ya fantasyMafantazia ndio manini jombaa?