Nimemuona kipendacho roho JF

Nimemuona kipendacho roho JF

Aisee we jmaa ni kipere ajabu....unaumiaje sas kwa mtu ucemjua wal ye hakutambui....et hijabu haitoki kichwani wakt huo huo unsem unamwonaga kwa picha kama samaki,ach umaskini wa fikra we janjaroo.

king Kunt@
 
Mwacheni msimtukane ,kila mtu kaumwa na uwezo wake na Taratibu zake ,najua Jamii Forum ni jukwaa la watu wazima na wanaojitambua na wenye kuwa na mawazo positive, haya matusi mnayomtukana huyu jamaa sioni kama yanaweza msaidia ,kama jibu la kumpa lilikosekana mngemwacha wajibizane na mhusika wake aliyempoint humu.
 
Acha ufarwa jf nilijiunga toka 2014 lakini nilitumia real name watu wengi mtaani kwangu wanalijua, mwaka huu nikaamua nibadilishe account.
Mwaka 2014 mpaka leo bado unakamba mguuni,utakuwa mjanja lini sasa mbana kama mjini muda mrefu lakini bado we ni jogoo la shamba.

king Kunt@
 
Najua my king nimeacha mbona. Na leo si umeona nimejishtaki mwenyewe!![emoji12] [emoji15]
Hahaha[emoji3][emoji3][emoji3]

Respect to your king Smart..

Ila asikupige mabanzi tuu manake ule ukoo wetu ukija hapo itatokea vita ya 3 ya dunia .[emoji38][emoji38]

Hahahahaha hapana sio jana Nina kama wiki mbili hivi nimetoka kifungoni ila kwa conditions nikikiuka tu jelaaa

Cc Smart911
 
Back
Top Bottom