Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka 2014 mpaka leo bado unakamba mguuni,utakuwa mjanja lini sasa mbana kama mjini muda mrefu lakini bado we ni jogoo la shamba.Acha ufarwa jf nilijiunga toka 2014 lakini nilitumia real name watu wengi mtaani kwangu wanalijua, mwaka huu nikaamua nibadilishe account.
Ulikuwa umejificha wapi?
Kaaah!
Na unajua ni kwa sababu gani nilikuzuia...
Najua my king nimeacha mbona. Na leo si umeona nimejishtaki mwenyewe!![emoji12] [emoji15]Na unajua ni kwa sababu gani nilikuzuia...
Hahaha...
Hahaha[emoji3][emoji3][emoji3]Najua my king nimeacha mbona. Na leo si umeona nimejishtaki mwenyewe!![emoji12] [emoji15]
Hahahahaha hapana sio jana Nina kama wiki mbili hivi nimetoka kifungoni ila kwa conditions nikikiuka tu jelaaa
Cc Smart911
Na wewe uache ujeuri kwa mmeo