Jamaa mwenyewe amepotea tumebaki tunahisi tuBora ucheke swahiba. Sio emmy bana.
Ewaaa. Hayo ndio maneno swahiba. Sio emmyNami nimegundua sio wewe swahiba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] poleni sana nawaona tu mlivyo na shauku swahiba.Jamaa mwenyewe amepotea tumebaki tunahisi tu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mmh. Nyie sio mimi. Mie Mmasai mjue sio Mtanga.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kupiga debe gani tena?[emoji40] [emoji40] [emoji40] nisaidie kupiga debe
Hahaaa. Ushahidi wa nini tena mdogo wangu?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nikiulizwa ushahidi utajificha dada yangu
Kajenga genge halafu kalitelekeza aiseeJamaa mwenyewe amepotea tumebaki tunahisi tu
Haha naona karudi mwenye uzi wake ngoja tuone atamtaja nani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] poleni sana nawaona tu mlivyo na shauku swahiba.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haha naona karudi mwenye uzi wake ngoja tuone atamtaja nani
Karudi labda saiv atakuwa na nguvu ya kuongea kwa uwaziKajenga genge halafu kalitelekeza aisee
Kwa emmyta[emoji40] [emoji40] [emoji40] nisaidie kupiga debe
Hahaha angalia usianguke maana ulivyokimbia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mleta mada anaonekana domo zege,emmyta amekuja anaanza kujing'atang'ata yeye badala ya mwanamkeKarudi labda saiv atakuwa na nguvu ya kuongea kwa uwazi
Taja ID yako ya zamani.[emoji40] [emoji40] [emoji40] nisaidie kupiga debe
Akaaa. Sitaki kesi mieeee swahiba. [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hahaha angalia usianguke maana ulivyokimbia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Akaaa. Sitaki kesi mieeee swahiba. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ngoja tusubiri hatima ya hichi kijiweKarudi labda saiv atakuwa na nguvu ya kuongea kwa uwazi
Kwa emmyta
Hahahaa. [emoji124] [emoji124] [emoji124]Mleta mada anaonekana domo zege,emmyta amekuja anaanza kujing'atang'ata yeye badala ya mwanamke
Kwakweli aisee sema anajiumaumaNgoja tusubiri hatima ya hichi kijiwe