[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahaaa. Ushahidi wa nini tena mdogo wangu?
Hebu taja kwa uwazi kabisa sema mimi fulan fulan nampenda fulan fulan basi umalize ubishiKashejijua nasubiri mlejesho kutoka kwake.
Bahati ya mtende hiyoHahahaa. [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Lazima ajiumeume maana hakujiandaaKwakweli aisee sema anajiumauma
AnamuogopaHebu taja kwa uwazi kabisa sema mimi fulan fulan nampenda fulan fulan basi umalize ubishi
Kweli anamuogopa mkuuAnamuogopa
Basi aendelee kuwa kichaa hvyo hvyoAnamuogopa
Kwani anamzungumzia emmytaDada emmyta tafadhali tunakuomba umjibu mleta mada aache kuweweseka.
Hakuna mwingineKwani anamzungumzia emmyta
Sio Madam S kweli?Hakuna mwingine
Mh, sijuiHakuna mwingine
Ila sina shungiNimesikia kuwa wewe pia mtoto wa kitanga