Mi nampenda mahondaw na emmyta
Kijana anatia hasira, amebaki yeye na goalkeeper tu anataka kupaisha mpira[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani wewe umenishinda tabia ujue
Anaanda chakula, si unajua tena mwanamke mapishiHaha
Acha hizo Shem... Shunie yuko wapi
[emoji23][emoji23][emoji23] babuuAyaaa ndege huyoo kapeperuka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] niambie madam[emoji23][emoji23][emoji23] babuu
Bado tu mambo yanaendelea[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] niambie madam
HahahaHahahaa. Mie Mmasai shoga Tanga nililowea tu. Sie ni wale wamasai tuliojaa kule Handeni.
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Pamoja na kuja na ID mpya bado hajiaminiKijana anatia hasira, amebaki yeye na goalkeeper tu anataka kupaisha mpira[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yupo humu mbonaAnaanda chakula, si unajua tena mwanamke mapishi
Ndio mwenye uzi ndio karudi jioni anajiumauma kweliBado tu mambo yanaendelea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kijana anatia hasira, amebaki yeye na goalkeeper tu anataka kupaisha mpira[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa sifa zilizotajwa hapa!! , mmh haya lakini.Hahahaa. Mie Mmasai shoga Tanga nililowea tu. Sie ni wale wamasai tuliojaa kule Handeni.
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio mwenye uzi ndio karudi jioni anajiumauma kweli
Jamaa kashamaliza ubishi tayari.Emmyta umedondokewa[emoji1] [emoji1] [emoji1]Emmyta. [emoji8][emoji8][emoji8]
Amefanyaje huyo uliemtaja?
Je kama yupo serious utamwelewa?...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sidhani
Kumwelewa aje kua nimpe nafasi???? Hilo haliwezekani, anisamehe bureJe kama yupo serious utamwelewa?...
Hatimae mwenye uzi naona amerudi baada ya kuona mwandiko wa ampendae[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji40] [emoji40] [emoji40] nisaidie kupiga debe