Nipo. Unasemaje mkuu?
Nipo. Ulikuwa unasemaje?Nimeangalia kampeni za CCM kipande kidogo leo. Wakati watu wanaruka ruka na kuimba kabla ya Kabudi kuongea mara paap kuna mtu akapita na ndoo yake ya miwa pale mbele basi mimi moja kwa moja nikamkumbuka yule Muuza Madafu wa Ikulu
Unahitajika ukamsapoti mama na kampen zake za mchongoš¤Nipo. Unasemaje mkuu?
Ss kuna ajabu gani hapo!!??Nimeangalia kampeni za CCM kipande kidogo leo. Wakati watu wanaruka ruka na kuimba kabla ya Kabudi kuongea mara paap kuna mtu akapita na ndoo yake ya miwa pale mbele basi mimi moja kwa moja nikamkumbuka yule Muuza Madafu wa Ikulu
Karibu Mbeya. Kesho tutakuwa Njombe then Jumapili tutamalizia Iringa.Unahitajika ukamsapoti mama na kampen zake za mchongoš¤