Jamaa alim-HIT Mpolee na ku-RUN. Hii ndo chanzo cha hasira za huyu mdada.
Umeanza
Ntakubeba mgongoni
Nitokomee na wewe
Ishu hapa ni una jeep au GX50?
Aisee! Hivi una hakika wanawake wa humu sio makini? Wana vifua vya kuhifadhia siri mpendwa, kila mtu akiamua kuja hapa na kusema katongozwa na nani na lini wala hapatatosha kabisa. ?
usimtaje bana, mkaushie..!
teh teh teh. Acha kudanganya watu kua wewe matawi ya juuuuu. Acha kututongoza mabinti kwa njia ya kua utatuoa imepitwa na wakati. Acha kuazima usafiri kwa ajili ya kujipaisha.
ahahaaa siamini kama hayo yametoka kwako loh ila ilo nalo neno.ngoja niingie jikoni mieGod! Kumbe kisha tembea na jamaa? I hope she had reached walau Climax na hakuchafuliwa tu.... Dah!
Lol, heri ya mwaka mpya my lovely swahiba...hahahahaha! Swahiba hapatatosha kabisaaaaaa.
Wifi, wifi, wifi...khaaa. Lolzzz.God! Kumbe kisha tembea na jamaa? I hope she had reached walau Climax na hakuchafuliwa tu.... Dah!
Lol, heri ya mwaka mpya my lovely swahiba...
Swahiba watu wengine walikimbia unyago ati, mwanamke asiye na staha wa nini bana...
ahahaaa siamini kama hayo yametoka kwako loh ila ilo nalo neno.ngoja niingie jikoni mie
Wifi, wifi, wifi...khaaa. Lolzzz...
Astaghafirulah!! Maajab haya Mwali wangu... Masomo wenu tuna kazi sana siku hizi, twawafunda hata hamfundiki, mtarudi ndani muanze kuokota mizungu upya.Lahawla wallah quatah!
Nini hii?
Usichoke somo, sio wote tuko hivo. Wengine tuko kama ulivo tufunda, wapoleeeeeeeAstaghafirulah!! Maajab haya Mwali wangu... Masomo wenu tuna kazi sana siku hizi, twawafunda hata hamfundiki, mtarudi ndani muanze kuokota mizungu upya.
Mie memiss wewe mnoooo!
Umeonae swahiba eeh??? Ngoja niongee na my wifi a.k.a your aunt AshaDii aanzishe darasa hapa. Kungwi atakuwa mamkwe wako a.k.a mke mwenzangu King'asti...lolahsante swahiba, nafurahi umeuona mwaka. Swahiba inabidi kuwa na darasa la jando na unyago. Lol.
Hahaha! Deskmate atakuja siku sio nyingi, tulienda vekesheni huko migombani, mie nimeingia jana yeye ataingia leo mda wowote.. Endelea kumwombea ruhusa kwa mwalimu wenu wa darasa.Usichoke somo, sio wote tuko hivo. Wengine tuko kama ulivo tufunda, wapoleeeeeee
Ila wengine tena, tofauti na jina zao wanakua wazi sana na mambo yao, na wako open minded zaidi
(just watch out, ikiwa too open the brain falls out)
Vipi deskmate, mbona unamfungia sana, tunammiss darasani
itakayo kupatia stimu...kama huwezi utaumbuka...wimbo Juma Nature..
Usijali wifi.. Nimewamiss ODM na Kaizer mno. Are they Ok?Wapenzi mtanisamehe... Niliteleza kidodo.... Haya mambo haya..... :A S embarassed:
No wasiwasi, nilimwambia mwalimu kua anaumwa, class ziko saspendedi hadi atakapo kuja.Hahaha! Deskmate atakuja siku sio nyingi, tulienda vekesheni huko migombani, mie nimeingia jana yeye ataingia leo mda wowote.. Endelea kumwombea ruhusa kwa mwalimu wenu wa darasa.
Haya, naomba basi uniachie kiti chako, maana nataka nirudi kwanza pages za mwanzo nisome nielewe... nimesoma tu post ya kwanza ya thread, ndio nikatoa mshangao hapo juu.SweetLady... Husninyo.... Mwali... Smiles.... Mje nyumbani leo tutaongea vizuri.... Ngoja nitoke kidogo nikampikie Mupenzi... na salamu zenu zitafika.... Nitakuja tu kuchukua Feed bak hapa.....lol:biggrin:
Alafu mumuambie King' ana case ya kujibu!