duh, huu mzimu umrudi?
Hadi sehemu zangu zimesinyaa.
Mimi nilidhani karudi bana, kumbe tu watu wameufufua.... Kongosho pole na kifungo ODM alisinyaa kukosa uwepo wako lol, mzima lakini?
asante, nimepoa.
Siendi tena siasa maana kula hata ukiomba ufafanuzi unafungiwa lol.

hahaha.... Nakumbuka ulisema hutathubutu kukanyaga pale; nahisi mod aliekuona pale alisoma ahadi yako na kuamua kukukomesha! lol.... It is my great belief ulionewa.... Good thing sio Paw aliku ban.... maana nilienda kwa HASIRA akabaki ananishangaa.... hahahaha.....:wink2:

Poa Gee Cee
mzima wewe.
Poa Gee Cee
mzima wewe.
asante, nimepoa.
Siendi tena siasa maana kula hata ukiomba ufafanuzi unafungiwa lol.
Ingekuwa ni mimi na baiskeli yabgu sijui ungenianzishia thread ya namna gani...
Masikhara yashafanyika na hii ndo testimony.teh teh teh. Acha kudanganya watu kua wewe matawi ya juuuuu. Acha kututongoza mabinti kwa njia ya kua utatuoa imepitwa na wakati. Acha kuazima usafiri kwa ajili ya kujipaisha.