Wakuu kwema? Ngoja niwape stori halafu mnishauri.
Nyumba niliyopanga ina vyumba 7 na wapangaj 6 cha saba ni Maza house na mume. Sasa jana nilikuwa nimechill chumbani kwangu nimelala mchana na palikuwa hakuna mtu hata mmoja, nikaamka nikajisaidie ile natoka chumbani kwangu nikamuona jamaa (yeye ana chumba chake) anatoka chumbani kwa mwingine ambaye ni mdada na alikuwa hayupo kasafiri.
Leo huyo dada karudi kakuta kaibiwa sabufa na godoro.
Je, niseme nilimuona huyu jamaa anatoka chumbani kwake au nikaushe nisionekane snichi mazee. Nishaurini kabla sijafungua mdomo wangu😁.