stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Hakuna Mwizi HAPO hao wanajuana mchizi anampiga Paipu huyo Dada yako kwenye hiko chumbaanatoka chumbani kwa mwingine ambaye ni mdada na alikuwa hayupo kasafiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna Mwizi HAPO hao wanajuana mchizi anampiga Paipu huyo Dada yako kwenye hiko chumbaanatoka chumbani kwa mwingine ambaye ni mdada na alikuwa hayupo kasafiri
Wewe alikuona wakati anatoka humo chumbani? Ulimwona akiwa amebeba?Wakuu kwema? Ngoja niwape stori halafu mnishauri.
Nyumba niliyopanga ina vyumba 7 na wapangaj 6 cha saba ni Maza house na mume. Sasa jana nilikuwa nimechill chumbani kwangu nimelala mchana na palikuwa hakuna mtu hata mmoja, nikaamka nikakojisaidie ile natoka chumbani kwangu nikamuona jamaa (yeye ana chumba chake) anatoka chumbani kwa mwingine ambaye ni mdada na alikuwa hayupo kasafiri.
Leo huyo dada karudi kakuta kaibiwa sabufa na godoro.
Je, niseme nilimuona huyu jamaa anatoka chumbani kwake au nikaushe nisionekane snichi mazee. Nishaurini kabla sijafungua mdomo wangu😁.
Wahuni 31:2Je, niseme nilimuona huyu jamaa anatoka chumbani kwake au nikaushe
Leo kwa dada, kesho kwake!Usipende kupeleka pua yako pasipo kuhusu.
Alivunja mlangoWakuu kwema? Ngoja niwape stori halafu mnishauri.
Nyumba niliyopanga ina vyumba 7 na wapangaj 6 cha saba ni Maza house na mume. Sasa jana nilikuwa nimechill chumbani kwangu nimelala mchana na palikuwa hakuna mtu hata mmoja, nikaamka nikajisaidie ile natoka chumbani kwangu nikamuona jamaa (yeye ana chumba chake) anatoka chumbani kwa mwingine ambaye ni mdada na alikuwa hayupo kasafiri.
Leo huyo dada karudi kakuta kaibiwa sabufa na godoro.
Je, niseme nilimuona huyu jamaa anatoka chumbani kwake au nikaushe nisionekane snichi mazee. Nishaurini kabla sijafungua mdomo wangu😁.
sema tuWakuu kwema? Ngoja niwape stori halafu mnishauri.