Nimemuona mwizi mahali ninapoishi

Wewe alikuona wakati anatoka humo chumbani? Ulimwona akiwa amebeba?
 
Jipe tu usalama wako,Mchane alone mwambie unazingua uliiba vile vitu nikikuona.Ukija kwangu ntakusanua ushahidi ninao kisha achana nae.

Hapo utakua umejilinda.Usibebe mzigo usio stahili.
 
Alivunja mlango
 
Hao wawili ni wapenzi sema huyo jamaa ni mpenzi mwizi. 😁Ana tamaa na mali zisizo zake au huenda washatibuana kaamua amkomeshe kwa kuchukua alivyomuhonga.
 
sema tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…