Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

Status
Not open for further replies.
Sawa, ila sitoacha jambo lipite.
Wewe unadhani mimi huko sitongozwi na tuvijana vi-handsome? Na mimi nitakuletea uzoefu.
Inauma hii kwenye maneno tu je ukienda kunyanduliwa huko aiseee.na vijana wanajituma hasa wanapiga Hadi deki...Ila mwisho wa siku n kutengana...mme Mara moja kwa mwaka Ni fureshi kuchepuka..Ila sio mwanamke
 
Dah na Mimi ningekukomosha kabla ya kunipiga hayo matukio mkuu. Mie mtu akinifanyia ukorofi ajiandae kwa vitu vyovyote aisee
Ukifanya hivyo ule uwezo wa kuona wachawi utapotea Mana utakuwa unamchafua roho mtakatifu...mmeo akichepuka wewe kimbilia madhabaahuni.
 
Ndicho nilichopanga mkuu. Tumetoka mbali na my husbandhuu mchepuko wala sina time nao maana kwanza najiamini kwa kila idara so hata kama ameamua kuchepuka ni vile ubinadamu tuu na nature vimemfosi. Nataka nikazane kumuombea tuu asije pata madhara
Sentes ya MWISHO hiyo kunywa pepsi
 
Huu ndo uwanamke sasa hiyo ndo maana ya kuwa Mama mwenye nyumba. Well done[emoji1547]mtumie msg huyo omba omba kwenye simu ya Mr mwambie sina pesa ya kukupa halafu piga block moja takatifu.
Maisha Ni vita
 
Ushamwambia
 
Inauma hii kwenye maneno tu je ukienda kunyanduliwa huko aiseee.na vijana wanajituma hasa wanapiga Hadi deki...Ila mwisho wa siku n kutengana...mme Mara moja kwa mwaka Ni fureshi kuchepuka..Ila sio mwanamke
wacha weee
 
Halooo, unamuonea huruma??
Ningekuwa mimi kwenye hiyo nafasi yako sijui ingekuwaje yaani. Vile ningeliamsha dudeee.
Ungeliamsha Dude Kama Wakati Ule Gwajima vs Bashite

Tunawahi Church Kwa Gwajiboy Kusikia Vijembe
 
Mchepuko wa shemeji nampa pole sana.
 
Mwandiko wa kiume...

Mada ni kumuonea huruma ila hitimisho ni kuomba ushauri...

JF imebadilika sana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…