Imetokea usiku wa kuamkia leo hiyo kitu, tena mara kadhaa. Kila nikilala kidogo namuona kapeace amefika tunazungumza, nikiamka hayupo! Nimeamka tangu saa kumi na moja kutafakari hili.
Nimemfuata dm tushirikiane kuitafsiri ndoto kwa amani na upendo wa hali ya juu, amenikaushia tu au haijafika.
Nafanyaje hapa wadau na mimi hii ndoto imeshaingia akilini?!!!!!