🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Imagine huyo kapeace ni id ya mwanaume😂😂😂😂 nyege zitakuua vibaya sana ww
Hiyo ndoto imetokea baada ya mchongo wa M kadhaa kukaa sawa; kama unabisha leo nikipita hapo stendi unapouzia karanga tuonane kama sikuchukua kapu lako lote na kauli 'keep change' nitakuachia.Punguza shobo mkuu,tafuta hela[emoji1]
Basi hii ndoto itakuwa ya kishenzi kupitiliza na ndo itakuwa ya kwanza kunidanganya!Imagine huyo kapeace ni id ya mwanaume😂😂😂😂 nyege zitakuua vibaya sana ww
Kuna wanaobisha eti! Sijui watoto hawa?!!!!Mimi nimemuota cocochanel hakika leo siku ya ndoto.
Mkuu subiri yakukute!vijana wa ovyo
Ndo nipo hapa mkuu kupata msaada wa maana halisi na hatua za kuchukua. Nashangaa watu wanashambulia bila kutumia medulla oblangata angalau kwa sekunde moja. Taifa linageuka kuwa la hovyo sana hili.Yaani unamuota mtu ambae humjui, au ndo unajisogeza
Ajifunze kubalance sio?Punguza shobo mkuu,tafuta hela[emoji1]
Atakuwa hajauona ujumbe wako, subiri auone naamini atakutafuta mzungumze. Ndoto ziheshimiwe jamanii...Imetokea usiku wa kuamkia leo hiyo kitu, tena mara kadhaa. Kila nikilala kidogo namuona kapeace amefika tunazungumza, nikiamka hayupo! Nimeamka tangu saa kumi na moja kutafakari hili.
Nimemfuata dm tushirikiane kuitafsiri ndoto kwa amani na upendo wa hali ya juu, amenikaushia tu au haijafika.
Nafanyaje hapa wadau na mimi hii ndoto imeshaingia akilini?!!!!!
Hakunaga kitu kama hicho, yaani nimuote mtu ambaye hata simjui.Mkuu subiri yakukute!
Na iwe hivyo mkuu, tunafeli sana kwa kudharau vitu ambavyo tunadhani ni vidogo. Waafrika walimcheka mzungu aliyekuwa anakamata mbu na kumuona mbumbumbu bila kujua alikuwa anatafuta dawa ya malaria.Atakuwa hajauona ujumbe wako, subiri auone naamini atakutafuta mzungumze. Ndoto ziheshimiwe jamanii...
Mkuu, nakuapia utakuja mwenyewe kutoa ushuhuda hapa.Hakunaga kitu kama hicho, yaani nimuote mtu ambaye hata simjui.