Nimemuota leo Askofu Gwajima naomba mnisaidie maana ya ndoto hii

Winning Team

Member
Joined
Jul 12, 2018
Posts
89
Reaction score
89
Ndugu wana jamvi kwanza nikubali kwamba nimechelewa kuhadithia ndoto yangu maana muda huu umeendelea sana. Lakini sio mbaya nikasimulia kile nilichoota usiku wa kuamkia leo.

Baada ya kupata chakula cha usiku nimepumzika kidogo huku nikisubiria mechi ya Arsenal na Liverpool iliyoanza saa nne usiku. Baada ya mechi hiyo ambayo kimsingi imetoa matokeo mzuri kwa team yangu pendwa, nilienda kulala.

Hii ndio ndoto yangu; watu walikuwa wameshika matawi ya miti na wengine wakiwa na vuvzella walikuwa wanashangilia ushindi wa ubunge. Kulikuwa na vijana wengi wanaimba GWAJI!! kwa kurudia rudia katika mpangilio mzuri. Baada ya muda mfupi nikamuona Askofu Gwajima ametoka nje huku anatabasamu na kuwashukuru wananchi wote kwa ushindi.

KISHA NIKAAMKA USINGIZINI.
 
Ndugu wana jamvi kwanza nikubali kwamba nimechelewa kuadithia ndoto yangu maana muda huu umeendelea sana. Lakini sio mbaya nikasimulia kile nilichoota usiku wa kuamkia leo.

Baada ya kupata chakula cha usiku nimepumzika kidogo huku nikisubiria mechi ya Arsenal na Liverpool iliyoanza saa nne usiku. Baada ya mechi hiyo ambayo kimsingi imetoa matokeo mzuri kwa team yangu pendwa, nilienda kulala.

Hii ndio ndoto yangu; watu walikuwa wameshika matawi ya miti na wengine wakiwa na vuvzella walikuwa wanashangilia ushindi wa ubunge. Kulikuwa na vijana wengi wanaimba GWAJI!!!!!! kwa kurudia rudia katika mpangilio mzuri. Baada ya muda mfupi nikamuona Askofu Gwajima ametoka nje huku anatabasamu na kuwashukuru wananchi wote kwa ushindi.

KISHA NIKAAMKA USINGIZINI.
Huo n ushindi mkuu hakika Gwajima ndo mbunge wa Kawe
 
Ndoto zenye maono ya Mungu hazijawahi kuwa direct kiasi hicho.
Kwakuwa hukusali before kulala basi utakuwa umepewa mpango kazi wa Ibilisi
 
icho chakula Cha usiku ungekuwa umekitafuta usingeota ndoto za kuzimu namna hiyoo.

Omba uwe unaota ndoto zitakazo kupa maono namna Bora yakutoka hapo kwa shemeji yako ili uweze kujitegemea.
Hahaha mtoto wa shetan n shetan tu sasa hapo kaota nin kibaya au n roho yako mbaya kama nyongo ya mamba
 
Ndugu wana jamvi kwanza nikubali kwamba nimechelewa kuadithia ndoto yangu maana muda huu umeendelea sana. Lakini sio mbaya nikasimulia kile nilichoota usiku wa kuamkia leo.

Baada ya kupata chakula cha usiku nimepumzika kidogo huku nikisubiria mechi ya Arsenal na Liverpool iliyoanza saa nne usiku. Baada ya mechi hiyo ambayo kimsingi imetoa matokeo mzuri kwa team yangu pendwa, nilienda kulala.

Hii ndio ndoto yangu; watu walikuwa wameshika matawi ya miti na wengine wakiwa na vuvzella walikuwa wanashangilia ushindi wa ubunge. Kulikuwa na vijana wengi wanaimba GWAJI!!!!!! kwa kurudia rudia katika mpangilio mzuri. Baada ya muda mfupi nikamuona Askofu Gwajima ametoka nje huku anatabasamu na kuwashukuru wananchi wote kwa ushindi.

KISHA NIKAAMKA USINGIZINI.
😄😄hii ndoto ni baba lao imenifurahisha sana
 
Hiyo ndoto mbona inaweleweka kabisa hao vijana wanashingia Gwajiboy ameshinda Ubunge jimbo la Kawe na kiuhalisia kabisa ushindi ni asilimia zote na kama kuna chenchi zitarudishwa.
 
Its opposite mzee, Gwaji kwisha habari yake!!
 
Ndugu wana jamvi kwanza nikubali kwamba nimechelewa kuadithia ndoto yangu maana muda huu umeendelea sana. Lakini sio mbaya nikasimulia kile nilichoota usiku wa kuamkia leo.

Baada ya kupata chakula cha usiku nimepumzika kidogo huku nikisubiria mechi ya Arsenal na Liverpool iliyoanza saa nne usiku. Baada ya mechi hiyo ambayo kimsingi imetoa matokeo mzuri kwa team yangu pendwa, nilienda kulala.

Hii ndio ndoto yangu; watu walikuwa wameshika matawi ya miti na wengine wakiwa na vuvzella walikuwa wanashangilia ushindi wa ubunge. Kulikuwa na vijana wengi wanaimba GWAJI!!!!!! kwa kurudia rudia katika mpangilio mzuri. Baada ya muda mfupi nikamuona Askofu Gwajima ametoka nje huku anatabasamu na kuwashukuru wananchi wote kwa ushindi.

KISHA NIKAAMKA USINGIZINI.
Watanzania huwa tunasema jiongeze, kwa kufikiri kwa kina ndoto hiyo inaonekana mh.mbunge wa kawe alitoka nje kwa furaha baada ya kushinda means kawe ya kijani ni ya gwajima
Na hii nikwaajili ya wanaobishabisha inabidi mthibitishiwe ndotoni wazee wazamani walitumia ndoto kujua yajayo ktk jamnii zao
 
Nimewai kusoma vitabu vingi vya ndoto na maana zake. Kwa ndoto yako iyo inabidi akutafute akiapishwa ili uwe nabii wake.

Mtazamo tu.
 
Ndugu wana jamvi kwanza nikubali kwamba nimechelewa kuadithia ndoto yangu maana muda huu umeendelea sana. Lakini sio mbaya nikasimulia kile nilichoota usiku wa kuamkia leo.

Baada ya kupata chakula cha usiku nimepumzika kidogo huku nikisubiria mechi ya Arsenal na Liverpool iliyoanza saa nne usiku. Baada ya mechi hiyo ambayo kimsingi imetoa matokeo mzuri kwa team yangu pendwa, nilienda kulala.

Hii ndio ndoto yangu; watu walikuwa wameshika matawi ya miti na wengine wakiwa na vuvzella walikuwa wanashangilia ushindi wa ubunge. Kulikuwa na vijana wengi wanaimba GWAJI!!!!!! kwa kurudia rudia katika mpangilio mzuri. Baada ya muda mfupi nikamuona Askofu Gwajima ametoka nje huku anatabasamu na kuwashukuru wananchi wote kwa ushindi.

KISHA NIKAAMKA USINGIZINI.
Kasha kuweka msukule.
 
Usisahau kusimulia ulivyoota anawanga
 
Ukiwa unakaa kwa shemeji ambaye kada kindakindaki wa CCM, kula yako ni inategemea shemeji, pesa ya kujikimu ni kwa dada nayo pia ni kupitia kwa shemeji yako, ni kawaida sana kuota ndoto kama hizo. Ukiwa weee ni kula kulala, kamwe huwezi kujua umuhimu wa haki, uhuru na maendeleo.
 
Ndugu wana jamvi kwanza nikubali kwamba nimechelewa kuadithia ndoto yangu maana muda huu umeendelea sana. Lakini sio mbaya nikasimulia kile nilichoota usiku wa kuamkia leo.

Baada ya kupata chakula cha usiku nimepumzika kidogo huku nikisubiria mechi ya Arsenal na Liverpool iliyoanza saa nne usiku. Baada ya mechi hiyo ambayo kimsingi imetoa matokeo mzuri kwa team yangu pendwa, nilienda kulala.

Hii ndio ndoto yangu; watu walikuwa wameshika matawi ya miti na wengine wakiwa na vuvzella walikuwa wanashangilia ushindi wa ubunge. Kulikuwa na vijana wengi wanaimba GWAJI!!!!!! kwa kurudia rudia katika mpangilio mzuri. Baada ya muda mfupi nikamuona Askofu Gwajima ametoka nje huku anatabasamu na kuwashukuru wananchi wote kwa ushindi.

KISHA NIKAAMKA USINGIZINI.
Hii ndo kiboko aise Gwaji boy ndo ubunge wa kawe wanaobisha ni wivu tu na hautawasaidia kitu mshindi mshindi na zaidi ya mshindi Gwaji juuu daima
 
Back
Top Bottom