Nimemuota leo Askofu Gwajima naomba mnisaidie maana ya ndoto hii

Mbona rahisi tu. Ulikuwa unaota kwamba Gwajima kashinda ubunge Jimbo la Kawe. Ni ndoto tu.
 
Bilashaka ulikuwa umekunywa pombe usingizini hebu lala tena alaf uamke
 
Basi tena chake
 
Mleta mada na wewe utakuwa ni msanii au tapeli la kutupwa kama unaemhubiri! Achana na huyu mtu na mtafute Mungu wa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…