Nimemuota marehemu

Kwanini marehemu anaombewa?
Kwa Waislamu hili sio jambo geni ata kidogo ni utaratibu wa dini yetu unatuongoza ivo
mna sio mtu akishakufa ndo mshamalizana nae haipo ivo kwetu sisi ila bado tunatakiwa tumuombee dua mna huko alipo kuna mengi yanamsibu
kiufupi ni hivo
 
Hiyo ni hali ya kawaida tu mkuu,mwombee tu kwa Mungu.
 
Kwa Waislamu hili sio jambo geni ata kidogo ni utaratibu wa dini yetu unatuongoza ivo
mna sio mtu akishakufa ndo mshamalizana nae haipo ivo kwetu sisi ila bado tunatakiwa tumuombee dua mna huko alipo kuna mengi yanamsibu
kiufupi ni hivo
Asante kwa kunijuza
 
Anakudai mafenesi yake uliokuwa unayaiba shamba kwake
 
Umarehemu wetu na kupumzika au kutopumzika baada ya mauti unaandaliwa tukiwa hai na si dua,misa,sala na maombezi toka kwa walio hai.
Nakuapia hujui maandiko hata kdg wewe! acha kukariri unayoambiwa soma vitabu uelewe acha ubishi wa kwenu!
 
Huwezi ukamuombea marehemu kama mda wote alikokuwa anaishi duniani hakutenda Mambo mema hata ukimuombea haisaidii chochote matendo yake yatamuhukumu huko aliko
 
Kwa Waislamu hili sio jambo geni ata kidogo ni utaratibu wa dini yetu unatuongoza ivo
mna sio mtu akishakufa ndo mshamalizana nae haipo ivo kwetu sisi ila bado tunatakiwa tumuombee dua mna huko alipo kuna mengi yanamsibu
kiufupi ni hivo
Si waislamu tu nadhani hata kanisa la warumi(RC) wanafanya haya mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…