Akhi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 3,380
- 5,906
Kwa Waislamu hili sio jambo geni ata kidogo ni utaratibu wa dini yetu unatuongoza ivoKwanini marehemu anaombewa?
mna sio mtu akishakufa ndo mshamalizana nae haipo ivo kwetu sisi ila bado tunatakiwa tumuombee dua mna huko alipo kuna mengi yanamsibu
kiufupi ni hivo