Nimemuota member wa JF mara mbili

Nimemuota member wa JF mara mbili

Mi nilijua umeota kakuoa wewe aisee
 
Jana usiku nimeota ndoto ya ajabu sana. Yaani nimeota nikashtuka nikanywa maji ,nikarudi kulala nikaiota tena

Eti nimemuota RRONDO ameoa. Kaja kwangu kunionesha picha za mkewe. Dada mweusi ana nywele nzuri kweli. akaniambia ni wife huyu yupo Arusha huko akija nitakuletea.
Mkuu umeoa kweli ?
hahaha
 
Sema ukweli uliota anakuchukua jumla!
 
Back
Top Bottom