mi tayariMi nilijua umeota kakuoa wewe aisee
Atatokea tena atake ota tenaHahahaha sijui kama atakuja kuota tena
Hahaaaa! Amekupa hongo umtetee eeh!!!Nililijua hilo you were born for espy
Sasa unamuotaje otaje jamani!! Au mlikuwa wote jana?hata kidogo simuwazi kweli naapa
tatizo mi bado nilipoteleza nikakosa sipajui mpaka akaamua kuondoka sitambuiSidanganyikiiiiii, naomba talaka yangu.
Hahaaaa! Amekupa hongo umtetee eeh!!!
Njoo pm yangu iko on alafu nimeshinda biko 50mnaogopa pm za watu unaweza ufumaniwe humo
hahaha alaa kumbe? basi sawa hongera yakomi tayari
hahahaJana usiku nimeota ndoto ya ajabu sana. Yaani nimeota nikashtuka nikanywa maji ,nikarudi kulala nikaiota tena
Eti nimemuota RRONDO ameoa. Kaja kwangu kunionesha picha za mkewe. Dada mweusi ana nywele nzuri kweli. akaniambia ni wife huyu yupo Arusha huko akija nitakuletea.
Mkuu umeoa kweli ?
Nitakuota ujue[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]tatizo mi bado nilipoteleza nikakosa sipajui mpaka akaamua kuondoka sitambui
Sema ukweli uliota anakuchukua jumla!Jana usiku nimeota ndoto ya ajabu sana. Yaani nimeota nikashtuka nikanywa maji ,nikarudi kulala nikaiota tena
Eti nimemuota RRONDO ameoa. Kaja kwangu kunionesha picha za mkewe. Dada mweusi ana nywele nzuri kweli. akaniambia ni wife huyu yupo Arusha huko akija nitakuletea.
Mkuu umeoa kweli ?
sio kwamba utaniota ila nitakujia ndotoniNitakuota ujue[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
[emoji57] [emoji57] [emoji57]sio kwamba utaniota ila nitakujia ndotoni
Huu uzi umekuibua kutoka mafichoni mkuu!![emoji4][emoji4][emoji4]looooookiiiiiii