MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kuna Wendawazimu nchi fulani Jumamosi walikuwa na Furaha ya Kazi bure iliyopelekea Kupokea Hirizi za Kuvaa Shingoni kutoka Uarabuni huku Wenzao wakibeba Ndoo yenye Madini na walivyorudi Makwao wanajisifia kuwa Wamekufa Kishujaa wakitaka Kujitofautisha na Wenzao ambao Wao walisema walikufa Kiume kutoka huko walikokuwa Wakifia.