MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangaziiiii kuna nn??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]@cocastic
Uje usome ujue misamiati ya kiswahili😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangaziiiii kuna nn??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangazii jamani, sasa mbna hakuna hapo??Uje usome ujue misamiati ya kiswahili[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba kufa ni kufa tu😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangazii jamani, sasa mbna hakuna hapo??
Ahaaaaa kumbeKuna Wendawazimu nchi fulani Jumamosi walikuwa na Furaha ya Kazi bure iliyopelekea Kupokea Hirizi za Kuvaa Shingoni kutoka Uarabuni huku Wenzao wakibeba Ndoo yenye Madini na walivyorudi Makwao wanajisifia kuwa Wamekufa Kishujaa wakitaka Kujitofautisha na Wenzao ambao Wao walisema walikufa Kiume kutoka huko walikokuwa Wakifia.
Kufa kiume na Kufa Kishujaa yote ni maneno kukubali kushindwa na kuamua kujiliwaza kupumbafuKuna Wendawazimu nchi fulani Jumamosi walikuwa na Furaha ya Kazi bure iliyopelekea Kupokea Hirizi za Kuvaa Shingoni kutoka Uarabuni huku Wenzao wakibeba Ndoo yenye Madini na walivyorudi Makwao wanajisifia kuwa Wamekufa Kishujaa wakitaka Kujitofautisha na Wenzao ambao Wao walisema walikufa Kiume kutoka huko walikokuwa Wakifia.
Eeeh ni kufaa tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba kufa ni kufa tu[emoji23][emoji23]
Kuondoka na ndoo ya madini ni kweli? Je ni sawa?Kuna Wendawazimu nchi fulani Jumamosi walikuwa na Furaha ya Kazi bure iliyopelekea Kupokea Hirizi za Kuvaa Shingoni kutoka Uarabuni huku Wenzao wakibeba Ndoo yenye Madini na walivyorudi Makwao wanajisifia kuwa Wamekufa Kishujaa wakitaka Kujitofautisha na Wenzao ambao Wao walisema walikufa Kiume kutoka huko walikokuwa Wakifia.